Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
Nakusifu kwa kuheshimu vitabu vitakatifu. Ni vizuri kuwaacha wanaovitumia wavitumie kwa imani zao. Huku ndiyo kuheshimiana. Sipendi sana kutumia neno"kuvumiliana." Mimi imani ya mtu hainikwazi, hata akiamini kwamba nyoka koboko ni mungu wake.
 
We mtoa post nakupa nasaha pia najihusia mwenyewe juu ya kuusoma uislamu, kuna tofauti kati ya Muislamu na Uislamu na usione kila sheikh au ustaadh ni wa kufuatwa, unavyoonekana hata huujui vzuri uislamu unawezaje kuandika Mtume Mohammed? Uislamu hauna huyu mtume bali kuna Mtume Muhammad, kuna Qur'an hakuna Koran, lugha ya kiarabu sio lugha ya mtaani au kisukuma, unapobadili heruf na maana hubadilika, nakushauri urud darasani ukasome na uyajue makundi ya uislamu na utambue kundi lililo sahihi sio kutetea uozo
Nimemuambia ,wahuni wenzake wanakuja na mitusi.
Uislam ni kusoma sio kurithi wala jina,
Mkumbushe tena arejee sura ya 95 aya ya kwanza mpaka ya tano.
Hizi ndizo aya za kwanza katika Quran ,hazikuamrisha kufunga wala kuswali wala kutoa zakkat,zimeamrisha ulazima wa kusoma.
Sasa maajabu anapokuja muislam(!!???) ambaye hata Quran (.القران ) haijui wala kutamka tu,ila anajiaminisha ni mjuzi wa kusimama mbele ya kadamnasi kukosoa wasomi.
 
Kila mmoja anao ufahamu wake ,lakini si kila ufahamu ni sahihi.
Nimesema Allah subhaana ,sikusema mungu.
Nimesema Quran,sikusema kuran.
Nadhani hata mtoto wa darasa la Saba ananielewa mkuu.
Mchana mwema .

Sawa Mkuu tuishie hapo.
 
Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!

Kaeni ndani muyamalize kiutu uzima, kugawanyika kiimani hadharani hakuwezi kustawisha amani miongoni mwenu
 
Mkristo anafunzwa kuheshimu sana imani za wenzie. na wala haruhusiwi kutukana wasio wa imani yake. watake radhi waislam kwa kutamka neno hilo baya tena kwenye uzi wao. Amri kuu ya pili ilikuwa “Mpende jirani yako kama nafsi yako” (Mathayo 22:39) huyu jamaa anatoa wapi ujasili wa kutukana wenzie? huu si ukristo.. tuendelee kumsaidia maana huyu ni wazi kuwa si mkristo kabisa.

KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.
 
Nimevamia vipi?

Ulimsikia Mohammed Issa alibyokuwa anamrushia matusi Shehe Hamza kupitia radio iman?!
Hajamtukana shekhe Muhammed Issa alikuwa anamtaka majinun hamza kama anaielewa vizuri Quruani inamkataza yeye kukubali mungu alizaa na yesu ni mungu na yesu ni mtoto wa mungu pia hakuna mungu baba mungu mwana na mungu roho mtakatifu Quruani inakataa hayo yote

Basi na awaambie pia hayo ktk makanisa kama hakupigwa yeye hamza.kuhusu kumtii yesu nikweli waislam na Quruani inawatii mitume wote wa mwenyezi mungu.ila kila mtume anasifa zake

Adam alikuwa hana baba wala mama lakini watu wake hawakumwita MUNGU
Kama ni sifa ya kufufua wafu waliokufa kuna nabii kwenye agano la kale alifufua watu wengi kuliko YESU lakini hakuitwa MUNGU.

Kama kuwepo kabla ya dunia haya nabii suleimani nae katika mithari anasema nalikuwapo kwa baba kabla ya mbingu na ardhi kuwepo lakini watu wake hawakumuita MUNGU
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Allah an Jehovah ni tofauti au Allah na Mungu wa Wakristo ni Tofauti sana. Soma Quran na Biblia utaona wana tabia tofauti kabisa.

Kwa hiyo Allah ana tofauti gani na Mungu ?.Nadhani ni lugha tu inagongana.Huku kwetu Mungu tunamwita Ngai kwahiyo ikiandikwa Quran ya Kimaasai sehemu ya Allah wataandika Ngai.Ukienda kule pande za Mlima Kilimanjaro Mungu wanamwita Ruwa ingeandikwa Quran sehemu ya Allah wangeandika Ruwa.

Natumaini nimekusaidia vya kutosha.
 
Shetani hawezi kukubali Yesu kuwa mwana wa Mungu. hilo ndilo shetani analopingana nalo sana. sababu anajua hicho cheo ni kikubwa sana na kinazidi kumuondoa na kumuweka mbali zaidi zaidi na nia yake ya kujifanya ni mungu. lakini kwa mimi mtu akinambia Yesu si mwana wa mungu. haindhuru kitu kabisa. maana kwa yeye kuamini hivyo ni sawa kabisa na si ajabu. ingekuwa ajabu anapokubali jambo hilo. so hata ukimtukana Yesu na ukaikanyaga biblia n. wala haina athari kwangu kwa sababu Mungu wangu yupo ndani yangu na ukuu wake umeonekana kwa namna nyingi. na lakini yeye alikataa kupigana vita vya damu na nyama kupigania ukristo. alisema vita vyenu si vya damu na nyama bali ni dhidi ya mfalme wa anga hili,mfalme wa giza.

una uhuru kabisa wa kuamini Yesu si lolote si chochote. unaweza mfananisha na watu wengine wengi upendavyo lakini kwa mimi " kwa maana neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu"1wakorintho1-18" na Mungu alichagua mambo dhaifu ya dunia ili awaaibishe walio na nguvu.

(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome😉"
2 wakorintho 10:4
 
hili ngoja nimuite ndugu mmoja aje alifafanue vizuri sehemu flan maana huu uzi wa wengine tusiwaharibie
GuDume . na ukisoma hivi vitabu vikuu viwili utaona ni kweli Allah ana sifa tofauti na Mungu Jehova wa Wakristo. TOFAUTI KUBWA SANA. SI KIDOGO.

Du uuuu!!!! Tupe tofaut zao mkuu
 
Allah an Jehovah ni tofauti au Allah na Mungu wa Wakristo ni Tofauti sana. Soma Quran na Biblia utaona wana tabia tofauti kabisa.

Naweza kukubaliana na hoja yako kwamba Allah Waislamu ni tofauti na Mungu wa wakristo kabisa lakini bado haiondoi maana.Hata Yesu na Nabii Issa bin Maryam ni tofauti kabisa kwa maana ya matendo na hata uwezo.
 
Kwani umelazimishwa kusoma au kuchangia? Nguruwe ww

Ustaadh, kwa aina hii ya uchangiaji wako wa mada inaonyesha kuna tatizo kwenye aina yako ya maisha. Tafuta wenye hekma wakupe mawaidha.
 
GOOD. MUNGU ni SIFA si jina pekee kuwa hili linamfanya mtu awe mungu. Issa wa kwenye Quran ni Tofauti kabisa na Yesu wa kwenye Biblia. two different names and characteristics. nashukuru umelikubali hili maana wengi huwa hawataki kukubali kuwa Allah wa waislamu ni tofauti na Mungu wa Wakristo kwa Matendo/sifa zao si kwa maana ya Tafsii kuwa Kwa kizungu ni God kwa Kiswahili ni Mungu. no. allah atabaki kuwa hivyo kwa sifa zake na Mungu wa kikristo atabaki kuwa wa tofauti na hata mungu mwingine atakayeitwa mungu na dini nyingine hata kama itajiita ya kikristo kwa sababu Biblia ni ile ile ya Miaka yote hakuna kinachobadilika.

tukiamini hivyo tutajikuta hatuna sababu ya kuchinjana,kuuana,kuchukiana na kutukanana. Mkristo atahubiri Ukristo kwa Mujibu wa Ukristo. na Siwezi kubaliana na Sheikh ambaye atakuja kuhubiri kanisani kwa kutumia Quran kusema Jehovah ni sawa na Allah. huo utakuwa ni Uongo kabisa.

Naweza kukubaliana na hoja yako kwamba Allah Waislamu ni tofauti na Mungu wa wakristo kabisa lakini bado haiondoi maana.Hata Yesu na Nabii Issa bin Maryam ni tofauti kabisa kwa maana ya matendo na hata uwezo.
 
KORAN IMEKUWA KIDUBWASHA!!!!! Hata kama siyo mwislam hukupaswa kusema hivyo na siyo ustaarabu ambao tumefunzwa hata kwenye biblia. Hivi unajiamini nini kwa kusema hivyo???? Adui mkubwa wa binadamu ni mdomo. Ndugu yangu hebu tafakuri kabla ya kuandika maneno ya kebehi kuhusu kitabu ambacho waumini wa kiislam ni kitukufu kwao kama vile wakristu na bibilia.

Adui wa waislamu ni waislamu wenyewe maana wao kuchalaruana ni kawaida huoni huko mashariki ya kati na huko Afrika kaskazini wao kwa wao wanauana!!!
 
[HASHTAG]#Ileje[/HASHTAG] umetumia nini kufikiri juu ya Hamza?
Hamza anatumiwa na makafiri kuupotosha Uislamu
 
Adui wa waislamu ni waislamu wenyewe maana wao kuchalaruana ni kawaida huoni huko mashariki ya kati na huko Afrika kaskazini wao kwa wao wanauana!!!
Hayo mambo hayajifungi kwa waislamu tu. Hata historia inakumbusha kuwa baada ya waingereza kujitoa kanisa la roma walikuwa wanawaita roman catholic kuwa ni 'heretics' na wengine wengi walinyongwana kuchinjwa. Miaka ya karibuni pia huko ireland wakristu kwa wakristu walikuwa wanachinjana vibaya sana kwa sababu wa irish wengi ni wakatolic hivyo kuleta mgogoro mkubwa. Mitifuano kwenye dini ni ibilisi tu na karibu dini zote hutokea.
 
Kwa kuwa mlishachukulia kawaida kuuana sisi hatuna budi kusema Adui wa Uislam ni waislamu wenyewe.
 
Back
Top Bottom