Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

Shehe Mohammed Issa acha kumkashfu Shehe Hamza!

Wote hamjui anaejua ni ustadh mazingeeeeeee!!!!!!!
 
Mohamed Issa ni mmoja wa viongozi wa madhehebu ya sunni!

Kamtukana Shehe Hamza kwa sababu alikwenda kuhubiri kanisani na kusifia utukufu wa Yesu Kristo!
Ohooooo!!!!! Nilimuona sheikh akiwa Kansan,so alimtukana maneno gan???? Bado ustadh mazinge na yey lazima aongee
 
Nawe ungetumia njia hiyo hiyo ya radio iman kutoa maoni yako
Maoni yangu hayawezi kurushwa hewani na ndiyo sababu nimetumia mtandao huu wa jamii kupeperusha maoni yangu nikiwa na hakika wahusika ni wanachama humu!!
 
Nimevamia vipi?

Ulimsikia Mohammed Issa alibyokuwa anamrushia matusi Shehe Hamza kupitia radio iman?!
Lakini pia wewe ulimsikia huyo Padri Hamza alivyokiri kuwa alikuwa anaenda katika njia sahihi. Hata hivyo sheikh Muhammad Issa alikuwa akitoa na reference za Qur an na haditihi za mtume katika kumuweka sawa huyu murtad.

Aliyeenda kanisani kusema kuwa sasa ni zama za gospel na sio zama kujua sheria.
 
kama ni msomi aliyebobea mbona alienda kwa sheikh mkuu wa dsm kuomba msamaha kwamba kakosea, kwamba alichokuwa anakifanya sio kweli na sio sahihi????
 
Maoni yangu hayawezi kurushwa hewani na ndiyo sababu nimetumia mtandao huu wa jamii kupeperusha maoni yangu nikiwa na hakika wahusika ni wanachama humu!!
Jee unauhakika mtandao huu utafikisha maoni yako kwa mlengwa????
 
Lakini pia wewe ulimsikia huyo Padri Hamza alivyokiri kuwa alikuwa anaenda katika njia sahihi. Hata hivyo sheikh Muhammad Issa alikuwa akitoa na reference za Qur an na haditihi za mtume katika kumuweka sawa huyu murtad.

Aliyeenda kanisani kusema kuwa sasa ni zama za gospel na sio zama kujua sheria.
Dini ni imani! Kila mmoja kwa nafsi yake atawajibika binafsi kwa Mungu!

Sasa kama kama Hamza ni murtad aachwe huru na imani yake kwani atahukumiwa yeye na siyo wengine kwa niaba yake!!
 
Hatuna kidubwasha kinachoitwa kuran bali kuna Quran katika uislam,
Hakuna mungu katika uislam bali kuna Allah subhaana wata'ala.
Umenipata mkuu,mwambie huyo mnafki muanzisha mada.

Kwa hiyo Allah ana tofauti gani na Mungu ?.Nadhani ni lugha tu inagongana.Huku kwetu Mungu tunamwita Ngai kwahiyo ikiandikwa Quran ya Kimaasai sehemu ya Allah wataandika Ngai.Ukienda kule pande za Mlima Kilimanjaro Mungu wanamwita Ruwa ingeandikwa Quran sehemu ya Allah wangeandika Ruwa.

Natumaini nimekusaidia vya kutosha.
 
Dini ni imani! Kila mmoja kwa nafsi yake atawajibika binafsi kwa Mungu!

Sasa kama kama Hamza ni murtad aachwe huru na imani yake kwani atahukumiwa yeye na siyo wengine kwa niaba yake!!
Sisi waislamu hatuamini hivyo, Hamza amekosea lazima akumbushwe kwa sababu qur an inasema ''KUMBUSHA HAKIKA UKUMBUSHO HUWAFAA WALIOAMINI'' sasa huyu Hamza asingekumbushwa naamini mpaka leo aisngeomba radhi kwa waislamu kuwa alikuwa anapotea.

Pia sisi waislamu tumeamrishwa kukatazana mabaya na kuamrishana mema, Huyu Hamza ameamrishwa mema na kwa hiari yake amekiri kuwa aliteleza kwa yale yote aliyokuwa akiyasema. Kikubwa kilichomponza ndugu yetu Hamza njaa ndio ilipelekea akasema yale yote bila kupenda.

Kama unatamani aendelee kuwa kama alivyokuwa mwanzo anakuja kuhubiri kanisani kwenu na watoaji wa sadaka wakaongezeka basi nendeni mkamtafute sheikh mweningine ili apate chochote aje aongee kama alivyoongea Bw.Hamza.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
"Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu."

Yakobo 1:27
Nime like
 
We mtoa post nakupa nasaha pia najihusia mwenyewe juu ya kuusoma uislamu, kuna tofauti kati ya Muislamu na Uislamu na usione kila sheikh au ustaadh ni wa kufuatwa, unavyoonekana hata huujui vzuri uislamu unawezaje kuandika Mtume Mohammed? Uislamu hauna huyu mtume bali kuna Mtume Muhammad, kuna Qur'an hakuna Koran, lugha ya kiarabu sio lugha ya mtaani au kisukuma, unapobadili heruf na maana hubadilika, nakushauri urud darasani ukasome na uyajue makundi ya uislamu na utambue kundi lililo sahihi sio kutetea uozo
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!

Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!

Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!
Dah Mbona Shehe Hamza yuko poa tu.....

Hamza Yusuf at Yale University, 2016.
Personal Details
Title
Shaykh
Born Mark Hanson
(1960-01-01) January 1, 1960 (age 56)
Walla Walla, Washington, U.S.
Era Modern era
Occupation Islamic scholar, author
Religion Islam
Denomination Sunni[1]
Jurisprudence Maliki[2]
Movement Sufi[3][4]
Sufi order Shadhili[5]
Website www.sandala.org
Personal Information
Residence
Northern California, United States
Citizenship United States
Education San Jose State University[6][7][8]
 
Kwa hiyo Allah ana tofauti gani na Mungu ?.Nadhani ni lugha tu inagongana.Huku kwetu Mungu tunamwita Ngai kwahiyo ikiandikwa Quran ya Kimaasai sehemu ya Allah wataandika Ngai.Ukienda kule pande za Mlima Kilimanjaro Mungu wanamwita Ruwa ingeandikwa Quran sehemu ya Allah wangeandika Ruwa.

Natumaini nimekusaidia vya kutosha.
Kila mmoja anao ufahamu wake ,lakini si kila ufahamu ni sahihi.
Nimesema Allah subhaana ,sikusema mungu.
Nimesema Quran,sikusema kuran.
Nadhani hata mtoto wa darasa la Saba ananielewa mkuu.
Mchana mwema .
 
kama ni msomi aliyebobea mbona alienda kwa sheikh mkuu wa dsm kuomba msamaha kwamba kakosea, kwamba alichokuwa anakifanya sio kweli na sio sahihi????
Muache huyo boya mkuu,
Mudhabidhabina huyo.
 
Back
Top Bottom