Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 11,808
- 18,045
Kwa jazba kubwa umesikika ukimkashfu Shehe Hamza kwamba anawapotosha waislam!
Wewe shehe Issa usijifanye ndiye unaifahamu Koran kuwapita waislam wote! Unapaswa kufahamu kuwa Shehe Hamza ni msomi aliyetukuka katika Koran! Kama una hoja ya kupinga mahubiri yake, pinga kwa hoja na vielelezo na siyo kutoa kashfa!
Kumbuka wote tunajifunza kutokana na maandiko! Wewe Issa hukuwepo wakati wa Mtume Mohammed hivyo kama wengine wote na wewe unasoma maandiko tuliyoyakuta! Usilazimishe wote tuwe na uelewa sawa na wewe!