Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

hivi sio kinyume na haki za mgonjwa kuweka picha za namna hii mtandaoni??
huoni kama zinamdhalilisha?

btw pole zake, na Mungu atamuafu.
 
pole sana sheha, Mungu akuponye na waliofanya ukatili huo maadam wanaishi, watajulikana tu
 
Mungu atamsaidia atapona,huyu aliyefanya kitendo hiki cha kinyama atafutwe na sheria ichukue mkondo wake.
 
Ukiona hivi jua kwamba huyu Shehe ni muadilifu sana na anapenda amani nchini Zanzibar hasa kwa kupinga hizi ***** ***** za kidini, mtu wa namna hiyo kule Zanzibar humwagiwa tindikali. Pole sana Shehe.
 
M4C ni baba lao.! Kuna kundi la watu wachache wanafanya vitu ili tu-deal navyo na tuachane na M4C. Watangoja sana..!
 
Get well soon Sheha....

tomondo.jpg
 
Siku hizi naona kuna watu wanaona kama uhalifu ni sifa. Kuna mwanasaikolojia nilimsikia siku moja anasema "Kuna mtu hawezi kulala akapata usingizi kabla ya kufanya uhalifu.Uhalifu unakuwa uko ndani yake".Sasa haya matukio ya namna hii kwakweli yanatia shaka.Kinachonisikitisha ni kwamba yule jamaa alieshitakiwa kwa tuhuma za kumpiga risasi Padre Mushi; wakati wote anapofikishwa mahakamani huwa anakuwa anacheka sana! sasa najiuliza kinachokuwa kinamchekesha hasa ni nini na kuna haja gani ya kucheka mahakamani huku akikabiliwa na kesi ya mauaji! je; anajivunia alichokifanya!

Thats pschological defince ya kujaribu kujiconvice alichokifanya ni sa hii hali akijua moyoni mwake amefanya kosa so kuonyesha watu yupo sahahi lazima ajitahidi kuonyesha kuwa yupo happy na alichokifanya "internal self denial"
 
Back
Top Bottom