Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

Sheha wa Unguja amegwawiwa tindikali leo asubuhi na mtu asiyefahamika, ila kikopo kinachosadikiwa ndicho kilichotumika kuwekewa tindikali hiyo kimeokotwa eneo la tukio, mgonjwa yupo hosp ya mnazi mmoja znz, hakuna mtu anayeshikiliwa hadi sasa kutokana na tukio hilo

source: habari za saa na Isaack Mpayo ITV
Wameanza kusaulisha watu habari za Mtwara?
 
ivi ni visasi ,kukaa kimya kwa jeshi la polisi kuhusu mienendo ya kesi ndio kunazidi kuchochea
maasi.
 
shehe au sheha?
Sheha wa Unguja amegwawiwa tindikali leo asubuhi na mtu asiyefahamika, ila kikopo kinachosadikiwa ndicho kilichotumika kuwekewa tindikali hiyo kimeokotwa eneo la tukio, mgonjwa yupo hosp ya mnazi mmoja znz, hakuna mtu anayeshikiliwa hadi sasa kutokana na tukio hilo

source: habari za saa na Isaack Mpayo ITV
 
[b tz patakuwa hapatoshi miaka si mingi ijayo. Ngoja tusubiri.
 
Watu sijui wana akili 2 tu umu ndani!! Afu wanajiita great thinkers, hii JF imevamiwa ama kulikuwa na matahira tangu mwanzo wakisubiri waongezeke tu wafanye utahira. Habari imeletwa eti ooh hamtuhamishi ya mtwara!! Basi isiletwe habari nyengine umu thread zote ziwe za Mtwara basi! Maana habari ikihusu chengine mnasema mnataka kusahaulishwa ya mtwara. Kama unataka kujadili ta mtwara tu zimo thread zinazungumzia Mtwara, nendeni uko hapa ni sheha kumwagiwa tindi kali, hili jukwaa sio la wana Mtwara, sio la Wazanzibari, sio la Uamsho sio la kiparokia, sio la waislam, sio la CDM wala CCM, ni jukwaa la watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kwaiyo kama mlikuwa mnataka habari za mtwara tu au cdm ndo ziletwe umu tengezeni jukwaa lenu, humu habari zote zitawekwa na kujadiliwa. Mmekuwa matahira kweli eti mnataka kusahalishwa ya mtwara, mnaboa sana watu wa aina hiyo
 
Habari za kuaminika ni kuwa Sheha wa eneo la Tomondo Zanzibar, amelazwa hospitali

baada ya kumwagiwa tindikali akiwa nyumbani kwake jana usiku.

Je, huu ni mwendelezo wa visasi vya kidini kufuatia mauaji ya padri Mushi?
 
Siku hizi naona kuna watu wanaona kama uhalifu ni sifa. Kuna mwanasaikolojia nilimsikia siku moja anasema "Kuna mtu hawezi kulala akapata usingizi kabla ya kufanya uhalifu.Uhalifu unakuwa uko ndani yake".Sasa haya matukio ya namna hii kwakweli yanatia shaka.Kinachonisikitisha ni kwamba yule jamaa alieshitakiwa kwa tuhuma za kumpiga risasi Padre Mushi; wakati wote anapofikishwa mahakamani huwa anakuwa anacheka sana! sasa najiuliza kinachokuwa kinamchekesha hasa ni nini na kuna haja gani ya kucheka mahakamani huku akikabiliwa na kesi ya mauaji! je; anajivunia alichokifanya!

yule jamaa wanatuzuga tu
 
si kahaidiwa mabikira 72 sasa kwanini asifurahie!?
 
Back
Top Bottom