Sheha wa Tomondo - Zanzibar amwagiwa tindikali!

Siyo ugaidi tena.

ni ugaidi masheha ni viongozi waserikali na WAHUSIKA WAKUU NI MSIMAMO MKALI UAMSHO ambao maadui zao wakuu ni wakristo/ukristo, bakwata zenji pamoja na serikali.

Ndio kusema wahusika wa mauaji ya zanzibar ni WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI "UAMSHO"
 
Matukio ya wananchi na viongozi mbalimbali kumwagiwa tindikali bado yanaitikisa nchi na habari zilizorushwa asubuhi hii kutoka Zanzibar ni kwamba sheha wa Tomondo amemwagiwa tindikali na amepata majeraha makali sana ktk sehemu mbalimbali za mwili wake.

Amelazwa hospitali na amechukuliwa DNA ili zipimwe kumtambua aliyemmwagia.

Tukio hilo limetafsiriwa kuwa ni la kisiasa.

kutoka itv/radio one

HABARI KUTOKA ZANZIBAR ZINASEMA;Sheha wa Tumondo Mohamed Omary Said,amemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana na hivyo kupata maumivu makali sehemu yake ya kifua na jicho kuumia pia.

Sheha huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja mjini Unguja ambapo alipatiwa matibabu ya dharura.

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.

Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.
.......upande wa pili wa muungano usihusishwe ktk hili, maanake husikia kwamba matokeo ya ukahaba, ushoga, wizi na ulevi ni kutokana "ati na wabara 'waliojazana' visiwani"..
 
SHEHA.jpg

Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.

Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.

IMG_2380.JPG

​
Sheha Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo.

NB:

Mleta habari kinduro bompwa - update 1st posti yako kwa kuweka hizi picha
 
Lets pray to the Living God for His healing. Jesus is the healer.

Matthew 9:35
35 And Jesus went throughout all the cities and villages, teaching in their synagogues and proclaiming the gospel of the kingdom and healing every disease and every affliction.
 
Hivi Zanzibar/Tanganyika siku hizi wanatambua watu kwa DNA sasa iweje yule aliyemuuwa Padri hadi leo ni kitendawili wamekamata mmoja lakini hawana uhakika kama ndio mhusika.Sasa leo hii ndio nimeisikia na kuisoma hapa Lol!!!hii ya DNA imekaa uzuri teh teh teh teh teh kwa Tanzania tu movie kama hizi zinzpatikana sana tu!!
 
[h=2]Thursday, May 23, 2013 | 2:58 PM[/h]

IMG_2380.JPG
​
​
Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.
SHEHA.jpg
\
​
Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.

Sheha Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo.

Read more: UPDATE: HIZI NDIZO PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA USIKU - GUMZO LA JIJI
 
duuh jamani binadamu mbona hatuna utu kweli unapofanya jambo kama hili mtu roho haikusuti jamani au kukuuma...mungu aturehemu...ugua pole ndugu...
 
CCM bana kha! Wameamua kumwagia tindikali diwani ili tuhamie zanzibar. Mtwara hatuondoki mpk serikali itakaposikiliza kilio cha watu wa mtwara
 
just a matter of time, but all this is from the nature of the leaders we have in Tanzania.
 
[h=3]PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA USIKU[/h]

\​
​
Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.

Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.

IMG_2380.JPG

Sheha Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa Mnazi Mmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo.

PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA USIKU - MPEKUZI HURU
 
sasa hawa wanataka nini?wengine wanawaua,wenyewe wanauwana?kwao jema lipi?Mungu tunusuru
 
Back
Top Bottom