kidE Meshack
Member
- Jan 8, 2013
- 92
- 7
Ndio mkuu
Kiaje?
Ndio mkuu
DNA inachukuliwa kwenye Tindikali au kwa majeruhi? Mbona sioni uhusiano hapo wa DNA na mtuhumiwa?
Ndio mkuu
Sasa DNA ya nani inachukuliwa hapo? Kwani mhusika alimgusa? Wonders shall never end!
Matukio ya wananchi na viongozi mbalimbali kumwagiwa tindikali bado yanaitikisa nchi na habari zilizorushwa asubuhi hii kutoka Zanzibar ni kwamba sheha wa Tomondo amemwagiwa tindikali na amepata majeraha makali sana ktk sehemu mbalimbali za mwili wake.
Amelazwa hospitali na amechukuliwa DNA ili zipimwe kumtambua aliyemmwagia.
Tukio hilo limetafsiriwa kuwa ni la kisiasa.
This tym hamtuhamishi mtwara!
yote zuga tu halafu wachore kikatuni wakamkamate mvuvi safari hii,,,,mwenzao muuza bangi wamemtoroshaPolisi wanasema wameweza kupata chombo kilichotumika kumwagia tindikali sheha. Kwa hiyo watachukua alama za vidole (finger prints) kutoka kwenye chombo hicho ambazo zitasaidia kumpata muhalifu aliefanya kitendo hicho.
Pole sana kwake. Hivi nani ametafsiri kuwa tukio hilo ni la Kisiasa?
Sisi tuko na yetu ya mtwara watajuana wenyewe huko na uamsho .
Mashehe tindikali, mapadre risasi...
Sasa DNA ya nani inachukuliwa hapo? Kwani mhusika alimgusa? Wonders shall never end!
hapo umenena mkuuThis tym hamtuhamishi mtwara!
Siyo Sheikh ni Sheha.
ni katika tu kubalance story kwamba wanaoshambuliwa ni wakristo peke yao
Siku hizi naona kuna watu wanaona kama uhalifu ni sifa. Kuna mwanasaikolojia nilimsikia siku moja anasema "Kuna mtu hawezi kulala akapata usingizi kabla ya kufanya uhalifu.Uhalifu unakuwa uko ndani yake".Sasa haya matukio ya namna hii kwakweli yanatia shaka.Kinachonisikitisha ni kwamba yule jamaa alieshitakiwa kwa tuhuma za kumpiga risasi Padre Mushi; wakati wote anapofikishwa mahakamani huwa anakuwa anacheka sana! sasa najiuliza kinachokuwa kinamchekesha hasa ni nini na kuna haja gani ya kucheka mahakamani huku akikabiliwa na kesi ya mauaji! je; anajivunia alichokifanya!
Kuna vitu vingine si masuala ya kisheria bali ya kijamii na kitabia.Hivi mfano wewe ukihudhuria msibani halafu unahushishwa na kutokea kwa msiba huo, halafu wakati wenzako wanamajonzi; wewe unacheka wakati wote; je umevunja sheria! Lakini unafikiri unachokifanya kinaleta tafsri gani?Kicheka na kununa ni haki ya msingi ya binadamu, kama vile kuzomewa na kushangiliwa. Madamu hajatiwa hatiani sioni kosa lake.