Kama aliyemwaga hiyo tindikali, alitupa kifaa alichotumia hapo hapo, nazani polisi wanachotaka kuchukua ni Finger Prints na sio DNA!Sasa DNA ya nani inachukuliwa hapo? Kwani mhusika alimgusa? Wonders shall never end!
sasa mkuu tuchukulie kwamba jamaa kabambikiwa kesi; hivi hili ni jambo la yeye kuhuzunika au kuchekelea? imagine siku kuna ndugu yako kauawa (mungu akuepushie; ni mfano tu) Halafu baadae akakamatwa mtu anaedaiwa kuwa ndio kamuua ndugu yako kipenzi, halafu anafikishwa mahakamani huku na wewe unamshuhudia na anaonekana wakati wote anacheka kweli meno yote nje (awe anacheka kwa hasira, furaha, mshangao, huzuni au kwa sababu yeyote ile) wewe utamtafsiri je?Kaka sio kweli kuwa huyu mtuhumiwa wa mauaji anacheka kwa kujivunia juu ya alichokifanya, kicheko hakitabiriki, kuna wakati unaweza ukacheka kutokana na mshangao ni vigezo vpi yy kahusishwa na tukio hilo huku akiwa hana nguvu ya utetezi ambayo itawafanya waliomshuku kuelewa ukweli, au pia hasira znapozdi ukakosa maamuzi unaweza kucheka na mingi mengineyo.
Kaka aliyemwagiwa Tindikali ni Sheha si SheheMashehe tindikali, mapadre risasi...
yote zuga tu halafu wachore kikatuni wakamkamate mvuvi safari hii,,,,mwenzao muuza bangi wamemtorosha
This tym hamtuhamishi mtwara!
Sasa DNA ya nani inachukuliwa hapo? Kwani mhusika alimgusa? Wonders shall never end!
Siku hizi naona kuna watu wanaona kama uhalifu ni sifa. Kuna mwanasaikolojia nilimsikia siku moja anasema "Kuna mtu hawezi kulala akapata usingizi kabla ya kufanya uhalifu.Uhalifu unakuwa uko ndani yake".Sasa haya matukio ya namna hii kwakweli yanatia shaka.Kinachonisikitisha ni kwamba yule jamaa alieshitakiwa kwa tuhuma za kumpiga risasi Padre Mushi; wakati wote anapofikishwa mahakamani huwa anakuwa anacheka sana! sasa najiuliza kinachokuwa kinamchekesha hasa ni nini na kuna haja gani ya kucheka mahakamani huku akikabiliwa na kesi ya mauaji! je; anajivunia alichokifanya!
Nini utofauti wake Mkuu!!??