SHEDO-Mazingira, Kanuni na taratibu

SHEDO-Mazingira, Kanuni na taratibu

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,309
Reaction score
1,552
Wapendwa wadau wa jukwaa hili, sina hakika kama hapa ni sehemu sahihi ya post yangu!

Naomba kuweka wazi, mimi ni Me, hii kitu inayoitwa shedo wanayojipakaa wadada inanipa shida.
Nawaomba wadada, mnaopenda na kujua hii kitu mnifafanulie juu ya haya yafuatayo

1. Mazingira yapi ni sahihi kujipakaa hiyo shedo-kazini au kwenye functions?
2. Najua wengi mnapenda kumechisha- unatakiwa/unaruhusiwa kujipakaai rangi ngapi kwa wakati Mmoja
3. Na sehemu gani ya mwili ni muafaka kujipakaa hiyo shedo?
4. Ni nani hasa anatakiwa kujipakaa hiyo shedo?
5. Wanaojipakaa hii kitu mnakusudia nini hasa?

Kwa wanaume naomba comments zenu juu ya hii shedo, unaichukuliaje? Manzi wako akijipakaa hii kitu how do yo feel? Easy or uneasy?

Nimeuliza haya sababu naona hakuna utaratibu au kanuni juu ya hii kitu, mambo ni hobela hobela

CC amu, @lara1, Heaven on earth, Kiranga, Preta, King'asti, snowhite, MziziMkavu, mimi49, lady furahia, charminglady, kipipi, @gifsonwin, Fixed Point, AshaDii, Mrembo by Nature, Bishanga, watu8,
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi wengine wanapaka kwenye mashavu ya kule bondeni.

Binafsi naona ni ulimbukeni tu. Unaweza kuwa mzuri pasi na kujipaka hayo matakataka.

.
 
Last edited by a moderator:
Mzee naomba maoni yako kuhusu hii kitu, mimi nimeshindwa kuizoea, inanipa shida. Nikiwa ofisini mdada akijipakaa hii kitu, najisikia ovyo


Maoni nimeshatoa. Jarbu kupitia hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Basi naomba mtazamo na msimamo gani juu ya Shedo? Na kwanini hutumii?

wenye kupaka nawapake maana kila mtu anafanya kitu roho inapenda na wanapendeza atii ila mimi situmii coz mshamba hahahaa... Urembo naupenda lakini si wakujiwekea rangi usoni
 
Wapendwa wadau wa jukwaa hili, sina hakika kama hapa ni sehemu sahihi ya post yangu!

Naomba kuweka wazi, mimi ni Me, hii kitu inayoitwa shedo wanayojipakaa wadada inanipa shida.
Nawaomba wadada, mnaopenda na kujua hii kitu mnifafanulie juu ya haya yafuatayo

1. Mazingira yapi ni sahihi kujipakaa hiyo shedo-kazini au kwenye functions?
2. Najua wengi mnapenda kumechisha- unatakiwa/unaruhusiwa kujipakaai rangi ngapi kwa wakati Mmoja
3. Na sehemu gani ya mwili ni muafaka kujipakaa hiyo shedo?
4. Ni nani hasa anatakiwa kujipakaa hiyo shedo?
5. Wanaojipakaa hii kitu mnakusudia nini hasa?

Kwa wanaume naomba comments zenu juu ya hii shedo, unaichukuliaje? Manzi wako akijipakaa hii kitu how do yo feel? Easy or uneasy?

Nimeuliza haya sababu naona hakuna utaratibu au kanuni juu ya hii kitu, mambo ni hobela hobela

CC amu, @lara1, Heaven on earth, Kiranga, Preta, King'asti, snowhite, MziziMkavu, mimi49, lady furahia, charminglady, kipipi, @gifsonwin, Fixed Point, AshaDii, Mrembo by Nature, Bishanga, watu8,
Kwa uelewa wangu shedo unapaka machoni.Kwahio nitajieleza kuhusu hio eye shadow...
Inategemea na mtu binafsi kusema kweli kuna wengine in general kama hawajapaka make up hawajakamilika na inategemea na skin tone ya mtu vilevile.
Mimi binafsi situmii sana eyeshadow,natumia hio in special occassion tu...
Eyeshadow inatumika kupaka machoni namaanisha kwenye eyelid.Kuna rangi tofauti zinazoendana na mwili wako ambazo zipo natural ndio sahihi zaidi kupaka haswa wakati wa mchana mfano kama unaenda kazini
. eyeshadow.jpgnatural eyeshadow.jpg
Mara nyingi ukinunua package ya eyeshadow kunakuwa na rangi tofauti mfano tatu unatakiwa upake zote au unaweza kupaka mojawapo.Mfano unatumia lighter colour kama base kwenye eyelid then unaongezea na ile rangi ile kooza kama unavyoona kwenye picha.
Ukitaka kutoka out kwanza inategemea na occasion unaenda wapi,disko,harusini,on a date,friends night out..Lakini hapa unaweza kutumia range kali zaidi.Wengi wao hupendelea smoky eyes kwasababu ipo more trendy right now au unaweza utumie ile rangi inayoendana na mavazi yako kutokana na chaguo lako.
smoky eye.jpg
SMOKY EYE...
fired smoky eye.jpg
FIRED SMOKY EYE
sultry forest green.jpg
SULTRY FOREST GREEN
doe eyed.jpg
DOE EYED
teal glitter.jpg
TEAL GLITTER
Eyeshadow inapendeza zaidi ikipakwa na vijana na wana mama sio wazee kwasababu wazee ngozi zao zimesinyaa kwahio haitokuwa na kivutio kikubwa kama akiipika mdada(18-45)
Madhumuni ya kutumia eyeshadow ni kupendeza.Mrembo yoyote anapenda kupendenza kwasababu eyeshadow inaongeza mvuto unakuwa na more self esteem and makes your eyes look SEXY kusema kweli ni pambo kama yalivyo mapambo mengine.
 

Attachments

  • smoky eye.jpg
    smoky eye.jpg
    5.7 KB · Views: 108
Back
Top Bottom