SHEDO-Mazingira, Kanuni na taratibu

SHEDO-Mazingira, Kanuni na taratibu

Kwa uelewa wangu shedo unapaka machoni.Kwahio nitajieleza kuhusu hio eye shadow...
Inategemea na mtu binafsi kusema kweli kuna wengine in general kama hawajapaka make up hawajakamilika na inategemea na skin tone ya mtu vilevile.
Mimi binafsi situmii sana eyeshadow,natumia hio in special occassion tu...
Eyeshadow inatumika kupaka machoni namaanisha kwenye eyelid.Kuna rangi tofauti zinazoendana na mwili wako ambazo zipo natural ndio sahihi zaidi kupaka haswa wakati wa mchana mfano kama unaenda kazini
.View attachment 115348View attachment 115349
Mara nyingi ukinunua package ya eyeshadow kunakuwa na rangi tofauti mfano tatu unatakiwa upake zote au unaweza kupaka mojawapo.Mfano unatumia lighter colour kama base kwenye eyelid then unaongezea na ile rangi ile kooza kama unavyoona kwenye picha.
Ukitaka kutoka out kwanza inategemea na occasion unaenda wapi,disko,harusini,on a date,friends night out..Lakini hapa unaweza kutumia range kali zaidi.Wengi wao hupendelea smoky eyes kwasababu ipo more trendy right now au unaweza utumie ile rangi inayoendana na mavazi yako kutokana na chaguo lako.
View attachment 115360
SMOKY EYE...
View attachment 115354
FIRED SMOKY EYE
View attachment 115355
SULTRY FOREST GREEN
View attachment 115356
DOE EYED
View attachment 115357
TEAL GLITTER
Eyeshadow inapendeza zaidi ikipakwa na vijana na wana mama sio wazee kwasababu wazee ngozi zao zimesinyaa kwahio haitokuwa na kivutio kikubwa kama akiipika mdada(18-45)
Madhumuni ya kutumia eyeshadow ni kupendeza.Mrembo yoyote anapenda kupendenza kwasababu eyeshadow inaongeza mvuto unakuwa na more self esteem and makes your eyes look SEXY kusema kweli ni pambo kama yalivyo mapambo mengine.

thanx no comment.
 
mimi49 umemaliza kila kitu aisee.....

big like aisee
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
those smokey eyes........wooow......hiyo ndio huwa naipenda.....but....sio kila mahali....ni kwenye shughuli muhimu.......
 
topic kama hizi wadada huwa wanatoka nduki....sijui kwa nini!!!:shocked:
 
Last edited by a moderator:
mimi ni mrembo by nature so huwa situmiii hivi vitu, apo wanaotumia wakipatia wanapendeza
 
Back
Top Bottom