She is not my standard

She is not my standard

uyo demu sio level zako..inshort kilaza
tafta ambaye watoto wamujini wanakuambia SHE LEVELS TO THIS SHIT.....
 
Huko huko!
Umbuje KOKUTONA amenipitia hapa maana leo kuna mkesha.
Karibu

Wewe kichwa ngumu sina shida na wewe kwenye parokia yangu

Huyo KOKUTONA itakuwa ananitafuta na yeye

Ngojea tu

Akikufuata atakiona cha moto!
 
Last edited by a moderator:

huyo mnaendana kabisa
yeye chovya chovya na wewe
chovya2,ungekua tofauti usingeshea na
rafikiyo tena kwa makusudi!!priuuuuuuuu!!
 
Lakin huoni kama ww ndo uliyekosea toka mwanzo? ulijua kabisa kwamba hujamsimamisha ww, ulijua kwamba elimu yake ni Form 4 na ww una degree 2. Haya muoe sasa maana yeye kakupenda na kama Vp muendeleze kielimu ili asiwaze ngono.

Sawa kabisa
 
Wewe kichwa ngumu sina shida na wewe kwenye parokia yangu

Huyo KOKUTONA itakuwa ananitafuta na yeye

Ngojea tu

Akikufuata atakiona cha moto!

Hahaaaaaaaa!!!
Nakuhurumia maana tunampitia colleague snowhite pia!!
Mwaka wako huu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom