awajuze ili sasa wale kimyakimya sio maana hawato acha mteremko wao.Tama huponza mwili na akiri pia,ila jipange mtafutie msala wa kuunda ili yeyd awe nakosa upate namna ya kumuacha na yeyd aendelee kjutia tatizo ulilo mtungi.Pia kama unampenda weka ndan na uwajuze marafiki zako.
Taa ya kijani imewaka hapo...hahahaha, but aksante mkuukwan kujiuwa kitu gani na wewe km humtaki n humtaki tu very simpo jaribu kuwa nae mbali tu heee mwenzangu n aibu hlf bora ucngejua yaan unajua kabisa yaan hata pcha za haruc utaziharibu kwa mnuno...ila njoo kwangu m cmjui hata rafiki yako m1
Profession yako si Professional yako Mr 2 degrees
Profession yako si Professional yako Mr 2 degrees
Umesema una "digrii mbili sentigredi"?Basi,ndiyo maana kidato cha nne anakusumbua hadi umelia JF mkuu!