She is not my standard

She is not my standard

Kwa mimi Elimu sio issue, hiyo form four mbona kasoma...na kichwa cha familia ni baba....pia elimu haina mwisho wako wengi wameolewa na wanasoma vile vile....Na wapo wamama ambao hawajasoma ila wanavipaji tofauti tofauti na wanaziendeleza familia zao na kufanya mambo ya maendeleo.

Tatizo ni hilo je atakuwa katulia? Katembea na friends wako duuhh....

Anyway mwenye kupenda ni wewe sikiza moyo wako...

Miaka mitatu iliyopita nilikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nikamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nilikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nikatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena, nikamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

Kikwazo ni hiki, katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Ameshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenzi tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE
 
Kwa mimi Elimu sio issue, hiyo form four mbona kasoma...na kichwa cha familia ni baba....pia elimu haina mwisho wako wengi wameolewa na wanasoma vile vile....Na wapo wamama ambao hawajasoma ila wanavipaji tofauti tofauti na wanaziendeleza familia zao na kufanya mambo ya maendeleo.

Tatizo ni hilo je atakuwa katulia? Katembea na friends wako duuhh....

Anyway mwenye kupenda ni wewe sikiza moyo wako...

Mama yangu anajua kuandika jina lake tu na sahihi basi na kupiga hesabu ya pesa kwa kichwa tu.Lakini yupo well organised kuliko mzee na bila mama shule yetu sisi watoto ilikuwa mashakani
 
Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!

Mbuzi akifia kwa muuza supu huwa hatupwi jamaniiiiiiiiii
 
Kwa mimi Elimu sio issue, hiyo form four mbona kasoma...na kichwa cha familia ni baba....pia elimu haina mwisho wako wengi wameolewa na wanasoma vile vile....Na wapo wamama ambao hawajasoma ila wanavipaji tofauti tofauti na wanaziendeleza familia zao na kufanya mambo ya maendeleo.

Tatizo ni hilo je atakuwa katulia? Katembea na friends wako duuhh....

/QUOTE]

Anyway mwenye kupenda ni wewe sikiza moyo wako...[
Illuh hujamshauri vizuri siku zote moyo unadanganya ktk suala zima la mapenzi. Kwa sababu kazi ya moyo ni kusukuma damu hiyo ya kupenda no kiherehere.

Nadhani ungemshauri atumie kichwa/ubongo ktk kutafakari hilo. Smahani lakini..
 
Miaka mitatu
iliyopita nilikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua
tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua
kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita
huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa
ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but
mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati
mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo
alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then
yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo.
kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua
namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi
akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio
mbali, nikamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini
nkamjibu nilikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna
tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nikatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena, nikamwambia lakini mimi
sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri,
binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti
then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game
sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote
zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

Kikwazo ni hiki, katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili
ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama
tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Ameshajaribu kunywa sumu mara
mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenzi tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE

wew kidembe kama una amin kuwa mke mwema hutoka kwa mungu mchunie kwa mda maana uko mbali nae then mungu atamleta anae kufaa.sali sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom