She is not my standard

She is not my standard

kumbe wa jua hafar AMA umenogewa? Kama ndio oa ila Julie wataendelea kula Wengi sandAl! Kama hujanogewa stop
 
nime fuatilia comments zote .niltaman kukutukana.kukusema bt unavyowajbu ina onyesha jns gan nawe umekerwa.skia bro
1.vaa sura ya kiume.ucwe na huruma kabsa ktk hili..
2.block her numbr.
3.hama hlo eneo japo ni kwako..
4.tengeneza mtego wa kumfumania as kuna mwa jf kaxema umpe namba huyo gal
5..anza kua na vsa kwake as anaweza tafuta namba mpya.afu huyo gal yupo serious.mtoto ya mjin so anajua michezo yote ya wanaume.afu anaufaham udhaifu wako xo ataku texa xana..kama ukzubaa as nimekuona ktk maandsh yako una upole na huruma fulan
lastly.huyo gal wako mpya.make sure anakuelewa kuhusu kuhama hapo kwako...livalie gwanda u can bro.kila lakheri
 
Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!

You said mpendwa...baadhi ya wanaume sijui huwa wanafikiria kwa kutumia ninii. Umemwambia ukweli kabisaa
 
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE

gash! mmh hard to swallow mpige chini kwanini alikuwa ananahiwa na rafiki zako mmh hafai kimbia bado kweupe
 
miaka mitatu sasa una mgegeda mtoto wa watu sasa unataka kumwacha na utamu umesha muonjesha....! ushauri, chukuwa maamuzi magumu kwa faida ya maisha yako,
 
namba hukuomba wewe lakini ukawa wakwanza kugegeda huyo dada anatakiwa kukaza kamba hadi umwoe na degree zako
 
KOKUTONA na mwekundu naombeni mje mniambie mmei LIKE hii mada kwa sababu ipi ili na mimi niangalie uwezekano wa kui LIKE!
 
Last edited by a moderator:
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE

Wewe mwenyewe unaonekana kunogewa, kamilisha tu Mambo. lama una degree mbili, ndoa ni PHD ambayo credential unazipata along the way. Chukua, weka ndani halafu Mambo yatajipa!
 
Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari?
Huyu jamaa ana matatizo yake
Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
Huyo binti ni mpu.uzi sana
Unakutana na mtu mchana usiku unamvulia chup.i unatarajia atakuheshimu vipi?
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!
Kweli hao wanafanana!
 
Huwa najuta kwa makosa kama hayo, but amini nilisemalo mimi, binti hana wazo lolote zaidi ya penzi, alikua kicheche kama asemavyo yeye, but anakiri nimembadilisha sana, lakini lengo langu halikua kumwoa, kwani ntaangaliaje washkaji ambao woote wamepita? hebu fikiria kama wewe ndio mimi..
Kwan sasa huwa wanakuangalia vip kupita njia waliyopita wenzio ? yaani kama ni guo wenzio wamevaa wakaona haifai lakin wewe ukaona ni new fasion ? huon kama wewe hauna wazo lolote la maana zaidi ya kuvaa mitumba ambayo wenzio waliona haina maana? hebu endelea naye na umuoe vinginevyo cha moto utakiona
 
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE
Kusema kweli jf imevamiwa na yoso. Hivi unatarajia great thinker atakushauri chochote kuhusu ufuska wakati binti zetu walishaolewa na tuna wajukuu? Lete vitu vyenye kuleta maendeleo na utambuzi katika jamii badala ya uzinzi. Kamwulize baba yako uone atakupa ushauri gani. Mnatia aibu,hamieni facebook.
 
pole kaka,but kaa ujue we ndio mwokozi wake uliebaki had sasa,ukichunguza kiundani una interest nae ndio mana ukapata muda wa kutaka kumjua ye ni nani,kwa kuwa unafahamu mengi yake,mazuri na mabaya please take time with her,by nature hakuna mwanamke ambaye hafai kila tabia inafunzwa,kama hivyo pia huachwa ikifika muda,jiulize haya,kama utamuacha wewe unafikir nan atakaa nae?
Pili mawazo kukua ni mazingira yeye anakaa na nan muda mwingi,kama utaamua kuwa nae wewe ina maana muda mwingi ataadapt tabia zako,hizo za masterz,pia suala la elimu sio tatizo,unaweza ukasoma usiweze kumudu mambo ya ndani ya ndoa bt ukawa la saba lakini ukajua nini unafanya kama atapata mwongozo mzuri.
DONT LEAVE HER..........
 
nime fuatilia comments zote .niltaman kukutukana.kukusema bt unavyowajbu ina onyesha jns gan nawe umekerwa.skia bro
1.vaa sura ya kiume.ucwe na huruma kabsa ktk hili..
2.block her numbr.
3.hama hlo eneo japo ni kwako..
4.tengeneza mtego wa kumfumania as kuna mwa jf kaxema umpe namba huyo gal
5..anza kua na vsa kwake as anaweza tafuta namba mpya.afu huyo gal yupo serious.mtoto ya mjin so anajua michezo yote ya wanaume.afu anaufaham udhaifu wako xo ataku texa xana..kama ukzubaa as nimekuona ktk maandsh yako una upole na huruma fulan
lastly.huyo gal wako mpya.make sure anakuelewa kuhusu kuhama hapo kwako...livalie gwanda u can bro.kila lakheri

xema wexe, nikixema mie mdada, wataxema mbeax....
 
Huyu jamaa ana matatizo yake

Huyo binti ni mpu.uzi sana
Unakutana na mtu mchana usiku unamvulia chup.i unatarajia atakuheshimu vipi?

Kweli hao wanafanana!
Shikamoo baba Paroko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom