She is not my standard

She is not my standard

maisha yataendelea, ila sipendi mtu apoteze maisha yake sababu yangu mimi..ndio maana natafuta njia ambayo itamwacha huru na mimi pia itaniweka huru mkuu.
Kaka, huwezi kuishi maisha yako kwa kutaka kumridhisha kila atakayekufuata. Ndio maana nimekwambia uamuzi ni wako, kusuka ama kunyoa
 
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.

Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).

Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.

Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.

Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.

Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.

Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.

Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.

Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.

Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,

Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,

Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,

Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE

Hakuna mwongozo wala utaratibu kwani wewe ulivyokuwa ubamgegeda ulituomba ushauri? Hata kinyaa huna unachangia dem na rafiki zako! Hafu wakati ubamgegeda hukujua kuwa hana elimu inayotaka? Wasomi wetu una masters lakini hujui kuishi kama msomi.
 
Kaka, huwezi kuishi maisha yako kwa kutaka kumridhisha kila atakayekufuata. Ndio maana nimekwambia uamuzi ni wako, kusuka ama kunyoa
Hapo nimekuelewa bro..kwa hiyo lazima niwe mbinafsi? yani nijijali mimi kwanza sio? ok bro
 
She is not your standard but you enjoyed taking her for a ride? Then wewe ndo wa double standards, you should have told her that from day one. Halafu mwambie no man is worth dying for esp. you....
 
Hapo nimekuelewa bro..kwa hiyo lazima niwe mbinafsi? yani nijijali mimi kwanza sio? ok bro
Kumbe wewe ni mtu wa maajabu sana. Nilidhani tunakushauri kumbe waliokuona wewe na huyo below standard wako mko sawa hawakukosea. Mbona hujawahi kutoa mshahara wako wote ukawapa ndugu zako wenye shida na wewe ukaamua kulala njaa ili usionekane mbinafsi? Maisha yameshakushinda mapema sana pamoja na madigrii yote uliyonayo kama mawazo yako ndo hayo
 
Your brain says: shes not my standard
your dick says : she sweet, hottie & tight,,
 
Kumbe wewe ni mtu wa maajabu sana. Nilidhani tunakushauri kumbe waliokuona wewe na huyo below standard wako mko sawa hawakukosea. Mbona hujawahi kutoa mshahara wako wote ukawapa ndugu zako wenye shida na wewe ukaamua kulala njaa ili usionekane mbinafsi? Maisha yameshakushinda mapema sana pamoja na madigrii yote uliyonayo kama mawazo yako ndo hayo[/QUOTE

Ndo maana nkaleta huu uzi, kwa ajili ya kupata baraka za maamuzi yangu, unajua wakati mwingine unaweza ukachukua maamuzi bila kumshirikisha mtu kumbe yakawa maamuzi mabaya, so, nimepata % nlioitaka kwa ajili ya kufanya maamuzi. Nawewe pia uko ndani ya hiyo %, hivyo nashukuru kwa ushauri wako. AMEN
 
She is not your standard but you enjoyed taking her for a ride? Then wewe ndo wa double standards, you should have told her that from day one. Halafu mwambie no man is worth dying for esp. you....
But nlimwambia toka mwanzo kama umefuatilia uzi vizuri, tatizo ni mazoea yakamsahaulisha uhalisia wa mahusiano yetu.
 
Mpende na msaidie awe unavyotaka awe, hata usipomuoa, pengine hata utakayempata atakuwa ametumiwa na watu hata wengi zaidi ya hao ulowataja. kama huwezi tafuta jinsi nzuri ya kuachana naye kama uandae fumanizi kwa hao marafiki zako kwani ww na hao jamaa zako mna mchezo mbaya.
 
wanaume tunapenda sana mteremko mtu akikuganda unatafuta ushauri JF!ilitakiwa pale pale alipokua anaanza kukusumbua uje utake ushauri,ushamchezea mtoto wa watu saa hizi afanani na wewe!mmh pole sana mkuu,ukilimaliza hilo anza upya.
 
Bahati nzuri sifuati maamuzi tofaut na akili yangu, vingine ni tamaa tu.
Aksante
kweli kabisa mkuu, hayo maelezo yako hapo juu ktk thread yanathibitisha kwamba kweli huwa unafuata maamuzi ya akili yako.
 
Usomi wako ulipaswa kuutumia tangu mwanzo ulipoanza mahusiano na huyo kidosho/kicheche. Iweje rafiki yako alale naye ndani kwako na wewe umlale katika chumba hicho hicho?! Then umrudie tena na tena...! From the beginning kulikuwa na signs zote kuwa huyo binti ni kicheche. Binti mwenye kujielewa kwanza hatoi namba ya simu kwa strangers leave alone kuingia kwenye nyumba ya mtu ambaye umekutana naye barabarani tena siku ya kwanza. Kwa kisingizio cha kuangalia tamthiliya. Kwani siku zote hiyo tamthiliya alikuwa anatazamia wapi?!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom