'Flaiz yake haina zipu' ,Lol!
Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!
Hahaaa, umenirudishia hamu ya kucheka. bahati mbaya wakati tunaanza kusoma university vyuo hivyo havikuwepo, hata UDOM hakikuwepo. Kipindi hicho ukisema uko chuo kikuu hakuna haja ya kueleza ni chuo gani? kila mtu anakua kakuelewa. aksante sana kwa kunikumbusha zamani.Huyu ana digrii za kata sensu St. Kayumba University
Utaelewa tu, endelea kujali vitu vidogo vidogo, na kupiga msuli yatima.
Na yamenikuta kweli, hii kitu inaninyima raha..Hata kwenda na msichana kwangu imekua tatizo, bint anakaa karibu na kwangu so akiona gari tu anachungulia niko na nani? achaaaa broww uc zuge hadi mmefikisha miaka 2 means ulimpenda so kwa sasa umeona mzuri mwingine unaanza kumbwaga umelikoroga linywe sasa.
Here is your standard,
Wapo Wadada, Wana elimu level ya digrii, na mipango ya kufanya masters pia kama wewe.
Ni 'Malaya Wasomi' na wanajiuza bila kificho.
Wasomi wajinga nyie Mnaendana jambo moja: Na wao pia hataki mwanaume ambao hajasoma.
Mnaendana,Ni-PM kwa maelezo zaidi.
Asante
Hakikisha hamna silaha jirani,atakutanguliza wewe kwanzaAkija mnunulie juice akimaliza kunywa mwambie kila siku unataka kujiua leo nimeamua kukuua kwa sumu hivyo nimekuwekea humo kwa juice uliyokunywa!!!!!!!!
Kibwagizo; As we are now talking,you are half way dead!!!!