She is not my standard

She is not my standard

Ila na wewe nikuseme kidogo, ilikuaje ukawa na mwanamke wa namna hiyo hata kama ilikuwa ni kupass time tu lakini ndo mwanamke aliepitiwa na midume yoyote alimradi katongozwa wakiwemo rafiki zako duh, nyinyi ni ndege mnaofanana ndo mana mmeruka pamoja manake hata wewe sio kama ulikuwa una mgegeda yeye tu lazma kuna wengine ulikuwa unawapitia sasa baada ya kuona mwenzio anataka kuweka makazi kwako ndo umeshtuka.
Uko sahihi kusema hivyo, sikua na mahusiano mengi,
Binti kiukweli ni mrembo sana, anajua mapenzi(nadhani ndio kitu pekee anachojua), baada ya game ya kwanza nlivutika mno na sikua najua kama alitoka na hao jamaa wa mwanzo, afu urahisi na ukaribu uliniponza.
 
Inawezekana uko sahihi kutokana na uelewa wako, ila makosa yanafanyika ili kujifunza, ukipotea njia ukashtuka unarudi na kuanza upya, sasa wew unataka nindelee kupotea? Pls, ifikirie kiuhalisia zaidi hii sio drama
Mistake has led you to your HALF aisee! Kama aliweza kubadili baadhi ya tabia Kwaajil yako au ulimbadilisha baadhi ya tabia basi huyo ndo ubavu wako ....kaeni Mjenge familia yenu dikembe
 
Mistake has led you to your HALF aisee! Kama aliweza kubadili baadhi ya tabia Kwaajil yako au ulimbadilisha baadhi ya tabia basi huyo ndo ubavu wako ....kaeni Mjenge familia yenu dikembe

Nadhani unataka nifanye majaribio kwenye familia, haya aksante kwa ushauri Annie
 
Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.

utaamini baada ya kumuoa
 
your too hard Mr. Zogwale...ila kumbuka, familia inaongozwa na mwanamke, na familia bora ni yenye mke bora, ukiangalia hivi vigezo unaweza kunipa njia ninayoweza kumsaidia pia yeye ..aksante pia.

Kwenye suala la mke wa kuoa you must be hard in you decisions!! Otherwise utakuwa umejiingiza katika matatizo. Ndoa is a lifetime commitment!!! Cha msingi mpe point blank kuwa hajatulia kama mke wa kuweka ndani, atofautishe mke na mtu wa uroda tu!!! Mke asilimia kubwa ni maendeleo na hakuna mwanaume mwenye akili timamu anataka oa goal keeper!! Kwani wewe unataka mke au mama wa watoto wako awe na sifa zipi?? Ukishaziweka mezani tena kwa maandishi then zipe scores in relation to this prostitute of yours. Sorry be being hard, ni kukusaidia zaidi!! Why being soft huku nikikupoteza?
 
Hebu kielezee hicho kisa ili nipate namna

Akija mnunulie juice akimaliza kunywa mwambie kila siku unataka kujiua leo nimeamua kukuua kwa sumu hivyo nimekuwekea humo kwa juice uliyokunywa!!!!!!!!

Kibwagizo; As we are now talking,you are half way dead!!!!
 
Thanks bro..hapo umenipa lines na ntazitendea haki
 
Akija mnunulie juice akimaliza kunywa mwambie kila siku unataka kujiua leo nimeamua kukuua kwa sumu hivyo nimekuwekea humo kwa juice uliyokunywa!!!!!!!!

Kibwagizo; As we are now talking,you are half way dead!!!!
HAHAAAA... hii imekaa vizuri sana
 
Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.
unavuna ndugu yangu ulichokipanda,mtu hawezi kutembea na rafiki yako na wewe ukaja kutembea naye kwa mtu mwenye maadili yake na akili timamu hawezi fanya hivyo katika mapenzi hakuna game best, kwanza kabla sijasema ufanye nini nikuulize ukiachilia mbali maneno ya watu wewe kama wewe unajisikiaje juu yake,unampenda? achilia mbali tabia zake unafikiri unamuhitaji yeye kama yeye katika maisha yako?
 
binafsi sikushauri,kumuoa kama hawazi kingine chochote zaidii ya ngono huyo sio wa kuweka ndani,hakuna mtu asietaka maendeleo cha msingi muacche katika njia ambazo hutomuumiza,wala kumfanya anywe sumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom