She is not my standard

She is not my standard

unavuna ndugu yangu ulichokipanda,mtu hawezi kutembea na rafiki yako na wewe ukaja kutembea naye kwa mtu mwenye maadili yake na akili timamu hawezi fanya hivyo katika mapenzi hakuna game best, kwanza kabla sijasema ufanye nini nikuulize ukiachilia mbali maneno ya watu wewe kama wewe unajisikiaje juu yake,unampenda? achilia mbali tabia zake unafikiri unamuhitaji yeye kama yeye katika maisha yako?

NO..nlishasema kilichoniponza ni urembo wake na availability..
 
Urembo na availability ya mwanamke unapomuhitaji ni moja ya kigezo muhimu kwa ndoa

Bahati mbaya kwangu sio katika mke, awe navyo hivyo na tabia inayotambulika pia mpenda maendeleo.
 
Kiukwel kk ulikosea tangu mwanzo ila bado unanafac ya kumuacha, unapotaka kumuacha m2 wa namna hii haitakiw haraka unaenda nae taratbu, kwa kutafuta sababu zczokua za mcng pole pole atmaye na yy anachoka atakama ingekua n ww m2 anakwambia tuachane nakat rson za kumuacha umwambii lazma achukue maamuz magum ya kujiua,,,,,, so plz taratbu kwa kutafuta vjisababu vdogo vdogo atimaye nae atachoka!! Hope utaelewa, ningekueleza mengi ya kufanya ila kuandka kaz.......
 
Thanks..nimekuelewa mkuu
 
Kwani tabia yake huitambui??!!
Maendeleo anayapenda ndio maana kachagua mume wa masters level na sio form four mwenzake!!!!!!
Kiufupi binti ana wivu wa ajabu, kashaharibu vitu vyangu vingi nyumbani kisa kuhis hisi..kishanivunjia simu zangu mbili,
keshawapigia simu marafiki zangu wa kike tunaofanya nao kazi akidhani natembea nao, yaani usimwache ndani utakuta kakusachi .
Yani ugomvi kila wakati...
 
NO..nlishasema kilichoniponza ni urembo wake na availability..

bado hujanijibu maswali yangu, so humpendi kabisa? kama humpendi ni kazi rahisi tu si uko nje ya nchi, endelea kukaa huko,kama mna mawasiliano kata kabisa mawasiliano naye, akisubiri atachoka na kama ulivyosema ni maharage ya mbeya ukirudi utakuta kamilikiwa na mwingine,na utakaporudi usimpe nafasi tena hata sekunde moja.
 
Mapenzi na degree mbili wapi na wapi jaman?au ndo umemchoka binti wa watu mkuu?

afadhali umesema wewe, kwa maana nyingine wa darasa langu hakuna huolewa na wenye vyeti vya mlimani.
si lazima ufike chuo kikuu ndiyo uwezee maisha
 
Kiufupi binti ana wivu wa ajabu, kashaharibu vitu vyangu vingi nyumbani kisa kuhis hisi..kishanivunjia simu zangu mbili,
keshawapigia simu marafiki zangu wa kike tunaofanya nao kazi akidhani natembea nao, yaani usimwache ndani utakuta kakusachi .
Yani ugomvi kila wakati...

Duh!!hapo ni urafiki tu je ikija ndoa nahisi utafungiwa mlango ukichelewa kurudi ,Hahahahhaha
 
Si anakujua bandubandu na anajua akileta poda mbele utamzunguka kama ulivyomzunguka rafiki yako!!!!!

Kakujua vema na.amekutyunia muziki wako kwa ajili yako wewe na yeye muucheze!!!!!

Tulizana hapo mpaka biti iishe na angepata wazo akuchukulie RB kabisa kuwa unatishia kumuua au kumfanya vibaya sababu anakupenda na ulimlazimisha kutoa mimba!!!!
 
Wewe na yeye wote vicheche, tena kwa tabia yako ya kugegeda ovyo huyo ndo size yako
 
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu. Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona bint ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt). Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, bint akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva. Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.
Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule bint akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione. mimi nkaenda coz sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.
Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.
Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.
Jamaa akaja kuniulizia ile namba nkampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nkaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nkaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.
tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,

kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.
Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,,,
Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,,,
Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,,,,
Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,,,

NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE

Mkuu mimi nashindwa hata kuelea ni Unatoa taarifa kwa ujinga uliofanya au ni unaomba ushauri kweli. Pamoja na hizo degree mbili hujawahi kuwa na chumba? na kama unae kwa nini unaacha njia kuu? Hayo ndio matokeo ya kupenda vitu ambavyo ni vya mteremko. Mim nakushauri ukubali matokeo na uanzae kutafuta mbinu bora za kumfanya huyo mwanamke awaze vitu vya maendeleo.
 
Duh!!hapo ni urafiki tu je ikija ndoa nahisi utafungiwa mlango ukichelewa kurudi ,Hahahahhaha

Kama alipigiwa simu tu akaacha na news na akagegeda kabisa huyu si anatakiwa afugiwe mbwa kumlinda kabisa!!!!!

Flaiz yake haina zipu!!!!
 
Nimemwambia maranyingi, mwanzo alikua anaelewa but siku hizi hataki kusikia, nimemwahidi kumsaidia kimaisha na atafute mtu hataki hiyo habari,
nshampa mtaji wa biashara kakataa, anasema hana dhiki na hela zangu.
Kaka hapo latamu sana. Ila nadhani wewe humpendi ndio maana unamtoa kasoro nyingi hivyo. Kwenye mish ya ndoa, hasa kwa sisi wanaume, kuoa mwanamke ambaye unajua amegegedwa na akina nani, tena kwa idadi, nina uhakika itakusumbua sana baadae, hasa atakapokosea hata kama ni kwa bahati mbaya. Uamuzi ni wako. Lkn nikuulize swali moja, kwa mfano ndio katishia kujiua na akafanya kweli, unadhani maisha hayataendelea kwako?
 
bado hujanijibu maswali yangu, so humpendi kabisa? kama humpendi ni kazi rahisi tu si uko nje ya nchi, endelea kukaa huko,kama mna mawasiliano kata kabisa mawasiliano naye, akisubiri atachoka na kama ulivyosema ni maharage ya mbeya ukirudi utakuta kamilikiwa na mwingine,na utakaporudi usimpe nafasi tena hata sekunde moja.

Kuhusu kumpenda sina mapenzi nae, nadhani ntafuata ushauri wako..Uko sahihi
 
Kaka hapo latamu sana. Ila nadhani wewe humpendi ndio maana unamtoa kasoro nyingi hivyo. Kwenye mish ya ndoa, hasa kwa sisi wanaume, kuoa mwanamke ambaye unajua amegegedwa na akina nani, tena kwa idadi, nina uhakika itakusumbua sana baadae, hasa atakapokosea hata kama ni kwa bahati mbaya. Uamuzi ni wako. Lkn nikuulize swali moja, kwa mfano ndio katishia kujiua na akafanya kweli, unadhani maisha hayataendelea kwako?
maisha yataendelea, ila sipendi mtu apoteze maisha yake sababu yangu mimi..ndio maana natafuta njia ambayo itamwacha huru na mimi pia itaniweka huru mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom