Ungekuwa unamfahamu, nadhani usingesema chochote, sasa hivi niko nje ya tz, huko mtaani anatangaa kwamba nkirud namuoa.....afu watu wote wanamjua tabia zake, nshafatwa na baadhi ya wamama watu wazima na kunionya niachane nae na wanasema inawezekana kaniendea kwa mganga, but hua mi siamini hivyo vitu.
Thanks much..hapo kwenye namba ya simu ni pagumu kutokana na kazi zangu.tena kwa kuwa upo nje ya nchi ndo rahisi zaidi hakikisha hakuoni tena utakaporudi usifikie hapo kwako na kwa kuwa umesema kuna sehemu nyingine unayoweza kuhamia basi utakaporudi tumia mtu unaemuamini anaeweza kukusaidia mwambie aende akakuhamishie vitu vyako avipeleke huko kwingine, na namba ya simu badilisha
Thanks much..hapo kwenye namba ya simu ni pagumu kutokana na kazi zangu.
ingekua wewe boss ungeoa? Ni hatari nahitaji mbinu ya kujitoa kwa amani bila kusababisha madhara yoyote
Wewe oa changudoa wako!!! Mwanamke yeyote wewe unasimamisha gari anakuja na anakubali kutoa mawasiliano yake kirahisi ni Changudoa tu!!!! Kwa hiyo oa huo chawote!!!! Kama nawe umekubali kutumbukiza huko mtalimbo wako wakati unajua alishalambwa na marafiki wako watatu si na wewe ni mwanaume flaisi wazi tu. Pole zako.
Exactly he smells her standards. Nyani haoni kundule.Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!
Kama ukisoma vizuri utaona mahali nimekiri kwamba nilikosea, makosa yapo tu cha msingi kuyatatua. Nshamwambia kila kitu na kumwahidi kumpatia hela kidogo kwa ajili ya biashara ili aweze kuinua maisha yake, but bint haelewihaya majanga saa zingine huwa ni kujitakia tu...tangu mwanzo alishakosea namba na sio wewe uliyemsimamisha, iweje ukafikia hadi kula tunda? mweh!labda mwambie ukweli kuwa humtaki...tumia hekima zaidi ktk suala hili..
Inawezekana uko sahihi kutokana na uelewa wako, ila makosa yanafanyika ili kujifunza, ukipotea njia ukashtuka unarudi na kuanza upya, sasa wew unataka nindelee kupotea? Pls, ifikirie kiuhalisia zaidi hii sio dramaExactly he smells her standards. Nyani haoni kundule.
Aksante sana dada yangu,
ila hili jambo linaninyima raha sana, imefikia kipindi nakataa kua sitembei nae.
Yule comedian wa Uganda anacho kisa cha rafiki anayetaka kujiua hebu mfanyie ile uone kama anamaanisha na yuko tayari kufa kweliKama ukisoma vizuri utaona mahali nimekiri kwamba nilikosea, makosa yapo tu cha msingi kuyatatua. Nshamwambia kila kitu na kumwahidi kumpatia hela kidogo kwa ajili ya biashara ili aweze kuinua maisha yake, but bint haelewi