Thanks, so ntamwachaje?
Hakikisha hamna silaha jirani,atakutanguliza wewe kwanza
Must be really difficult being a man
Hauko sahihi, hii ni hali halisi..na sijawahi kupost wala kuomba ushauri binafsi.Huu uzi kama nilishauonaga kipindi kirefu sana humu JF. Wadau wale wataalamu wa kuzifukua nyuzi chakavu naommba mnisaidie.
CC: Watu8
Aksante sana.. Dr.Makarang,Teh teh,kama una degree mbili na umeandika ths topic ukiwa mzima kichwani.!.Basi unamatatzo makubwa kuliko hata ya mtu wa standard 7.
Kweli kabisaaaa!Una degree ngapi? Kaongeze nyingine mbili labda zitakusaidia kufikirisha kidogo akili yako kabla ya kufanya maamuzi.
Bint amekuwa approached na rafikiyo,anakupigia kimakosa ulishindwaje kumwambia sio wewe anayemtafuta then ukaendelea kuangalia hiyo habari? Bint amekuwa approached jioni mbele yako then usiku uka sex nae kisha ukampasia rafiki yako huku ukiendelea naye!!!
She is your standard kabisa,marry her wala usitafute sababu maana unayoyahofia kwake kwako ni mara mbili yake hujioni tu!!
kama ....kuliwa ni kawaida sana ,mwache ajiue tu ,kwani unampenda wewe!miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.
Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).
Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.
Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.
Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. Kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? Basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.
Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.
Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.
Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.
Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,
kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.
Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,
bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,
binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,
nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,
nipeni mwongozo mzuri na sahihi niko flexible
kama ....kuliwa ni kawaida sana ,mwache ajiue tu ,kwani unampenda wewe!
Huyo demu ni double standard analenga maisha kwako shtuka demu gani maji mara moja?we huoni hajajishtukia umemtafuna na friend wako kamtafuna?
Naona degree mbili ni tatizo, mkuu? Kuzungumzia degree mbili ni kutaka kuelezea kwa ufupi profile yangu na jinsi binti anavyofanya kama ukisikia mtu wa namna yangu anaoa mtu wa tabia hizo nadhani haitakuingia akilini, ..wewe jamaa upo flexible na digirii zako 2, hebu muoe uongeze hiyo fom foo....
Miaka mitatu iliyopita nlikua natoka kazini nikiwa na rafiki yangu, tulikua tunatumia gari ya huyu rafiki yangu.
Tulipofika karibu na kwangu rafiki yangu alimwona binti ambaye alikua kavaa skirt fupi sana( mini-skirt).
Jamaa alikua mtu wa wanawake sana hivyo alisimamisha gari na kumwita huyu dada, binti akasogea karibu na gari upande wa dereva ambapo jamaa ndio alikua dereva.
Wakasalimiana then bint akanisalimia pia then akaonyesha kunitambua but mimi sikua namjua. Rafiki yangu akapewa namba ya simu lakini kwa bahati mbaya simu ya rafiki yangu ilikua imezima sababu ya chaji, hivyo alitumia simu yangu.
Then tukaagana na binti jamaa akanifikisha kwangu tukakaa kidogo then yeye akaondoka, alisahau kuhusu ile namba nami pia sikua na habari nayo. kwenye majira ya saa tatu na nusu usiku yule binti akapiga, kwa kua namba haukua imeseviwa nkamuuliza yeye ni nani na anamtaka nani? basi akanikumbusha then akaomba niende anione, mimi nkaenda because sio mbali, nkamkuta ananisubiri, then akaniuliza nlikua nafanya nini nkamjibu nlikua naangalia habari, akaomba aongozane na mimi kuna tamthilia anataka akaitazame.
Baada ya hapo nkatembea nae bila kikwazo, akaondoka zake.
Ikapita siku kama mbili then akantafuta tena , nkamwambia lakini mimi sie niliekusimamisha so, jamaa akijua ataona mimi sio mshkaji mzuri, binti akasema poa tu.
Jamaa akaja kuniulizia ile namba nikampa, akaja kwangu akamcall binti then mie nikaondoka, binti akampa utamu mshkaji.
Baada ya pale jamaa hakumfatilia tena yule binti, mie nikaendeleza game sababu ya ukaribu na urahisi pia, vilevile demu hakua anataka chochote zaidi ya penzi langu.
Tuliendelea na mchezo mpaka ninapoandika waraka huu,
kikwazo ni hiki...katembea na rafiki zangu watatu lakini hao wawili ilikua kabla yangu mimi.
Sasa hivi binti hataki kuelewa kuhusu ilikua game tu kama tulivyokubaliana awali, yeye anataka ndoa. Keshajaribu kunywa sumu mara mbili akanusurika kwa bahati njema.
Binti kaishia form four, mimi nina degree ya pili sasa,
Bint hana mawazo mazuri ya kimaendeleo yeye ni mapenz tu,
Binti kuliwa na mtu sio issue, ni jambo la kawaida saana,
Nikimuudhi yeye anatishia kujiua au anaenda kufanya starehe,
NIPENI MWONGOZO MZURI NA SAHIHI NIKO FLEXIBLE
piga chini, hakuna cha sumu wala nini msomi....Naona degree mbili ni tatizo, mkuu? Kuzungumzia degree mbili ni kutaka kuelezea kwa ufupi profile yangu na jinsi binti anavyofanya kama ukisikia mtu wa namna yangu anaoa mtu wa tabia hizo nadhani haitakuingia akilini, ..
Hilo ndio lengo mkuu, Thanks