She is not my standard

Du!nilijua mtu akisoma anajua ku reason na kufanya mambo sahihi,mahala sahihi na kwa wakati sahihi.Nina mashaka na elimu uliyonayo,na kama mambo ni hayo bac elimu yako ni ktk vyeti tu,bt in your brain bado hujakomboka.Inasikitisha sana!
 
Du!nilijua mtu akisoma anajua ku reason na kufanya mambo sahihi,mahala sahihi na kwa wakati sahihi.Nina mashaka na elimu uliyonayo,na kama mambo ni hayo bac elimu yako ni ktk vyeti tu,bt in your brain bado hujakomboka.Inasikitisha sana!Mwisho:The girl is your standard,that's why you managed to put off your underwear before her and sex with her.
 


hao ni wamama watu wazima wakwendre zao ni wachonganishi tu ukiona hivyo wanataka uwaoe mabinti zao hahahaaaaa pipo r luking for grin pascha hata kwenye ishu ya ndoa ati... hakuna tabia ambazo ziko permanent bana kaa nae chini anza kumfunza how to behave na aachane na tabia za kijinga km anakupenda to the extent kutaka kujiua 4u (as per ur statement above) i'm quiet sure atakusikiliza na kua very good wife kwako...
 
namba hukuomba wewe lakini ukawa wakwanza kugegeda huyo dada anatakiwa kukaza kamba hadi umwoe na degree zako

Wakati anachukua namba alijiona forward.....kwamba ni lazima atampiga kanzu Best yake,sasa kiranga komo!
 
wanwake wa siku hizi wanalazimisha sana ndoa...! siku tatu tu umekutana na mtu, unataka uolewe?

kwa jinsi hii, mahari sitokuja kutoa aisee!
 
Du!nilijua mtu akisoma anajua ku reason na kufanya mambo sahihi,mahala sahihi na kwa wakati sahihi.Nina mashaka na elimu uliyonayo,na kama mambo ni hayo bac elimu yako ni ktk vyeti tu,bt in your brain bado hujakomboka.Inasikitisha sana!
Bwana mbunda kuna kitu unakimiss kwenye love game..Kama makosa kila mtu yuko huru kutengeneza ila tunatofautiana njia za kutatua. Nina rafiki yangu yeye ni muhadhiri pale UDSM, tena Coet, lakini kwenye mapenzi huwa anakosea kuliko hata hili unaloliona kwangu kama ni kosa lisilonifit. Usomi wangu sio kukwepa makosa ya kidunia bali ni kuyapunguza tu, na hili kwangu ni DARK PASSENGER hua liko kwangu na siwezi kulikwepa na huwa nalificha sipendi kuliongelea. Epuka kudhania kwani kudhania ni maneno ya uongo.. AKSANTE
 

Wewe ndio mjinga namba moja, rafiki yako kaja kumtia demu ndani ya gheto lako, muoe ili siku nyingine tuwe tunakuja kumtia hapo hapo nyumbani kwako.

Yeye alijua keshakupa utamu, hata kama aliyeomba namba ni rafiki yako, demu anajua wewe tayari umeshammega, anamegesha tena kwa rafiki yako, tena ndani mwako. Pumbafu kabisa
 
Mkuu nashukuru pia..
Ila matusi hayatanisaidia kwa muda huu, ni vizur ukatoa ushaur kama ni vigumu ni bora ukasoma na kusahau.
Thanks
 
Mkuu nashukuru pia..
Ila matusi hayatanisaidia kwa muda huu, ni vizur ukatoa ushaur kama ni vigumu ni bora ukasoma na kusahau.
Thanks

Samahani mkuu ikiwa nimetumia maneno makali, ila naomba kuweka sawa neno "Ujinga na upumbav" sio matusi.

Hakika huyu demu hakufai. Ila kuwa makini, usimwache ghafla, anza taratibu, na hata ikibidi, kama umepang, hama huo mtaa na usimwelekeze ulipohamia.

Wasiwasi wangu ni kuwa, Demu atakuwa ameshahamia kwako na mnaishi pamoja kwa muda mrefu. robo tatu ya nguo zake zipo hapo kwako. MAJANGA
 


No bro..bint sikai nae, yeye anakaa kwao na wazaz wake but tunakaa mtaa mmoja.
Thanks for understanding
 

kama hayo kashaacha kikwazo ni nini, aendelee tu
 
Ulipokuwa unamchochea kama stovu ya mchina alikuwa standard yako?Wacha unafiki na visingizio vya kitoto.Grow up.
 
Naogopa sana kudate mwanamke ambaye hana future,hawakawii kukubambikizia mimba au akajitambulisha kwa wazazi wake.
 
kuna watu huwa hawawezi kabisa kuwa makauzu...
 
Nani alizaliwa na elimu hapa duniani! Wewe ni mbaguzi wa kielimu. Unaweza kumwendeleza na yeye akawa na degree kumi!
 
Vijana siku hizi wamerahisisha sana ngono, sasa yabayomkuta ndugu yetu sio ajabu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…