She is a nurse...

She is a nurse...

Yah..kila nikikumbuka huwa najisikia vibaya sana. Namuomba mungu anisamehe kila nikumbukapo..Ni njia mbaya sana kuipitia.

Tunasema yamepita ila huwa mambo kama haya hayaishi moyoni mwa mhusika ila kumbuka sana kutubu kaka
Maisha yaendelee mbele na yasonge mradi hukurudia tena kosa lako
Mradi tuu usirudi tena huko mkuu dikembe
 
Last edited by a moderator:

Thanks bro...siwezi kurudi hata aje shetani mwenyewe sio kumtumia nurse sitajaribu.
 
Nguvu ya mwanamke imeonekana hapo, wewe hunywi pombe lakini ilibidi unywe sababu yake, aisee
 
Pamoja mkuu dikembe japo tunashauriana na kupeana maonyo sometime ili kutorudia makosa tuliyoyafanya
Na maisha yanasonga mkuu japo kigumugumu ila tunajifunza mengi kupitia watu na matendo yetu
 
Last edited by a moderator:
Pamoja mkuu dikembe japo tunashauriana na kupeana maonyo sometime ili kutorudia makosa tuliyoyafanya
Na maisha yanasonga mkuu japo kigumugumu ila tunajifunza mengi kupitia watu na matendo yetu
Ndio faida ya kuwa na jukwaa kama hili, ili watu wajifunze na kuchukua tahadhari..aksante sana mkuu
 
Nguvu ya mwanamke imeonekana hapo, wewe hunywi pombe lakini ilibidi unywe sababu yake, aisee
Huu uzi umeonyesha ushawishi wa mwanamke kwenye kutenda dhambi..hawa ndugu zetu wakiamua kutubadilisha katika mambo mema nadhani dunia itakua na amani na hakutakua na haja ya kupoteza pesa kwa ajili ya majeshi na vifaa vya kivita.
 
kws hiyo ukapata raha ya tigo loh....! unahatari wewe aya sasa embu tuambie raha ya tigo ikoje?
 
Ndio faida ya kuwa na jukwaa kama hili, ili watu wajifunze na kuchukua tahadhari..aksante sana mkuu

Ila sometime mkuu story kama hizi zinaharibu concentration yetu aise zinafanya mambo yaharibike bana
Ila pamoja sana mkuu dikembe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom