She is a nurse...

She is a nurse...

Umeanza vizuri,
Ukaharibu ile ya kutoa kiumbe;
Mwishoni ulipogusa mtandao mpya ndo umeharibu kila kitu na utamu ukaishia hapo.
 
Owkey hongera xana kwa kaz nzur had nurse akakulilia
 
Asalaaleeee!!!!

Afadhali wewe unanilewa Mpendwa wangu miss chagga. Mr Rocky ntamtafutia kisa tena cha kigaidi kabisa kwa Rwakatare.
rafiki yangu atakuchukia ujjue nimeulizwa hivi Tized niile teamm ya watu wababya nikamwmbia kwa kuwa Mr Rocky amesema yawezekana pia... kwa hiyo ngoja nimwambie umesingiziwa
 
Last edited by a moderator:
Asalaaleeee!!!!

Afadhali wewe unanilewa Mpendwa wangu miss chagga. Mr Rocky ntamtafutia kisa tena cha kigaidi kabisa kwa Rwakatare.


Sasa Tized wanasema msema kweli ni mpenzi wa Mungu na mimi sijafanya kosa lolote zaidi ya kusema kweli unanionea bure miss chagga usimsikilize Tized mimi na wewe ni damu damu na hakuna kutenda sambi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Good one. nyie ishieni tu apo kwenye shida na raha.... hayo mengine ntamalizana na miss chagga wangu.Cheers:tea:


Shida na raha ina maana nyingi sana mkuu Tized ila wewe endelea kuota tuu kuwa shida na raha itaishia hapo hapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom