She is a nurse...

She is a nurse...

Daahh natumai umetubu na usirudie tena. Jitahidi kumshinda shetan
Aksante mkuu, nilikua sina majukumu zaidi ya kusoma, lakini kwa sasa mambo mengi, hayo mambo sio saiz yangu tena. Shetani ameshindwa kwa kweli.
 
Dah nashindwa kuelewa definition ya kijana mdogo inaanzia wapi japo umetubu ila mkuu dikembe ulikuwa mtu mzima kabisa kuweza kumpa mimba nurse wako na kujua mambo yote hayo na kama ulikuwa chuo sidhani tena kama wewe ulikuwa mdogo unavyojitabanaisha hapa
Sema tuu kitu kiliingia anga zako bana
 
Last edited by a moderator:

Unajua mkuu, hii game ilikua haijabalance, sababu nlikua namuogopa ogopa hivi, mambo mengi alikua anaaamua yeye. sababu alikua na uzoefu na mimi nlikua sio mjanja kwa wadada. Nlikua mwoga sana mkuu.
 
Sawa mkuu sema hukuwa mjanja kwenye game na ulikuwa unafundishwa ila sio kusema wewe ulikuwa kijana mdogo
Maana udogo hapo ushakuisha uko chuo ni mtu mzima kabisa hatuexpect kijana wa miaka kumi na mbili kuwa chuo huyo ndo tunayemregard kama kijana mdogo ila chuo mkuu udogo ushaisha bana dikembe
 
Nlikua mtoto kwenye mapenzi.. yani mgeni kabisa mkuu.
 
"Kwenye mapenzi ulikuwa mtoto" ila kiumri sio mtoto
Kila mtu kuna sehem alijiona mtoto kwenye game na hilo halikwepeki aise tushafanya sana hayo
Ndo alikukuza mkuu dikembe kwenye issue nzima ya mapenzi
 
Last edited by a moderator:
"Kwenye mapenzi ulikuwa mtoto" ila kiumri sio mtoto
Kila mtu kuna sehem alijiona mtoto kwenye game na hilo halikwepeki aise tushafanya sana hayo
Ndo alikukuza mkuu dikembe kwenye issue nzima ya mapenzi
Ila hiyo training mkuu, ilikua superb..Nadhan alikua na pepo. Hata mume wake inabidi awe ngangari.
 
Naamini ndio inakusaidia mpaka sasa kwenye maisha yako ya mapenzi
Ila kosa kubwa ni lile la kutoa mimba was a big mistake ever
Na hili la kuruka ukuta aise tubu na muombesana Mungu wako mkuu dikembe
 
Last edited by a moderator:
thax jiran yangu Karucee shem wako nitamsamilia bana halafu hebu nipe kaintro kidogo ka thread hii.....

Kumbe jirani yangu eeh? Nice!!

Huyu mtoa mada bwana, enzi za ujana wake alimla ---- jirani yake ambae ni mke wa mtu. Wakafanya ka mchezo kabaya , pia alishika mimba na akaitoa. Ila nesi alihamishwa mkoa. Ni miaka 7 iliyopita but anamkumbuka sana na wanawasiliana.:nod::nod:
 
Naamini ndio inakusaidia mpaka sasa kwenye maisha yako ya mapenzi
Ila kosa kubwa ni lile la kutoa mimba was a big mistake ever
Na hili la kuruka ukuta aise tubu na muombesana Mungu wako mkuu dikembe
Yah..kila nikikumbuka huwa najisikia vibaya sana. Namuomba mungu anisamehe kila nikumbukapo..Ni njia mbaya sana kuipitia.
 
Back
Top Bottom