Haya dhamira kuu ya story yetu ni nini?
Lakini kumbuka sijasema kama kaolewa..jamaa alikua boyfriend tu, ila walikua wanaishi pamoja. Na pia sio mimi nilianzisha mahusiano . Hivyo usinihukumu bure
trust me, nlikua kijana mdogo, sikua na uzoefu wowote wa mahusiano, sikuweza kuishinda roho ya tamaa. Ila nlitubu kwa mungu wangu ndio maana sikuwahi fanya hiyo michezo tena.
Unachosema ni sahihi mkuu, lakini tatizo nlikua ndio naanza mapenzi, nlikua kijana mdogo ku-control hisia hizi. Unajua watu wengi wanaishi pamoja kama mke na mume lakini hakuna ndoa iliyowaunganisha, kwa lugha ya haraka tunawaita couple..sijakuhukumu ila ungejicontrol ungeepuka, how do you explain "couple"?
hahahaaa!!.. mkuu unajua mi network ya mgegedo inashika fasta sana!! sasa kijana anaongea vitu nyeti hivi mbele yangu? doh!Mkuu Excel hata mm nimejikuta kwenye wkt mgumu sana!!!!
hahahaaaa!! ninazo ishirini kama hizi!! (nadhani unajua story ya masai na chupi zake! lols!)kwi! kwi! kaanike juan au kausha na pasi.
Pole mkuu.
.waarabu wanasema kullu lhaku laukaana muurah..
Mkuu inawezekana sijakuelewa...Sina hata cha kuchangia! Watu wameona hii ndiyo style ya kutokea JF! Tafuteni style zingine siyo story za kudinyana tu!
Naweza nilikua kijana mdogo, sikua naakili ya ya kikubwa. halafu damu ilikua inachemka....Huu ni moja ya kipindi kibaya cha ujana
uzinzi tena kinyume na maumbile+ kuua kiumbe kisichokuwa na hatia=
Daahh natumai umetubu na usirudie tena. Jitahidi kumshinda shetan
Mkuu sikushauri..unajua kuna kipindi alikua akiingia shift ya night basi mzee naenda nae, unakuta kuna ward iko wazi basi yeye huniacha hapo na kwenda kuhudumia wagonjwa. ikifika mida basi anakuja tunapiga mecha ya hatari, Dah..sitokaa nisahau hii kitu. Afu jamaa kamwacha home.Always Nurses are good, I am proud to marry a nurse.