Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,029
- 8,637
Duh..! Mtoto wa kike unamkubali TI aisee big up, hauko upande wa kina maroon 5, camila...!?Namfananishaga Mangwea na TI
Duh..! Mtoto wa kike unamkubali TI aisee big up, hauko upande wa kina maroon 5, camila...!?Namfananishaga Mangwea na TI
😊😊😊🥰Good morning Chakorii
Yes namkzbali sana TI,snoop doggy,50 cent,marehemu magwea,Roma,young lunya,Ben Pol,Jux,Ali kiba na wengineoDuh..! Mtoto wa kike unamkubali TI aisee big up, hauko upande wa kina maroon 5, camila...!?
Niki mbishi vipi au humjuiYes namkzbali sana TI,snoop doggy,50 cent,marehemu magwea,Roma,young lunya,Ben Pol,Jux,Ali kiba na wengineo
TI, Eminem, chriss breezy, Akon, hawa kwangu ni mostly.Yes namkzbali sana TI,snoop doggy,50 cent,marehemu magwea,Roma,young lunya,Ben Pol,Jux,Ali kiba na wengineo
Flow za TI ila Swag za Nelly.Namfananishaga Mangwea na TI
She will get number one...Maana ya gwan ni ipi?
Oooh,asanteShe will get number one...
Karibu...Oooh,asante
Chriss brown nankubali kuanzia uimabaji wake (sauti fulani hatar sana) pia vile anavyopenda tech na maswala ya future world na parallel universe (the other world) hiz interests sijui katoa wapi jamaa. Afu yupo very homophobic.TI, Eminem, chriss breezy, Akon, hawa kwangu ni mostly.