Tunapopondana humu jua kuna siku tutakutana mitaani...apumzike kwa amani ...he was such a great guy.....tutamkumbuka daima....he was a true brother to meAisee sikuwahi kujua kama Mshana unamfahamu huyu mzee Sanga wa Koli Finance,ila ofisi zake zipo JM Mall.
Aisee, ni kweli mkuu, ila mdogo wake Patrick " Papaa" bado analiendeleza.Tunapopondana humu jua kuna siku tutakutana mitaani...apumzike kwa amani ...he was such a great guy.....tutamkumbuka daima....he was a true brother to me
ni kweli mkuu, ni jambo la kusubiri na kuona.Sidhani kama atamudu kama kaka yake....tumuombee sana ..
Hapo kuna vitu vi3 tofaut vimezungumziwakusoma na kuelewa n vitu viwili tofaut, wazee wa code error na network loading bd tunakuna vichwa vilivyojaa tunda za mapapai
Ha ha haaa na mbadooo! Mzee baba ameagizia zingine 2 zinakuja mwakani, DILIMULAIN mpya, BURANDI NYUU kabisa! Sasa hapo ndiyo wabongo tutachonga sana, Mzee baba hajali cha gharama za wese, wala "sevisi" wala "meintenesi", yeye ameshaamua.The same story inataka kujirudia mwaka huu...! Achana na mpenzi bombadia...!(aka dogo msumbufu/terrible teen)...nazungumzia DIMULAINA...kitu brand new..! MwaNa mZee BaBa kakizikiri mwenyewe...! RAA ILIOJE....! Milonje katikati ya white apple...new blend....!!!
manina huyu hakawii kusema kumbe raisi mkapa amekufa kumbe kusoma hajui.Si kila aliyeshika gazeti analisoma.... Si kila ashikaye gazeti amelisoma na kuelewa kilichoandikwa.... Kuna kuangalia maandishi ya post, lakini pia kuna kuielewa post..... View attachment 806878