Hakuna hela ya rahisi dogo kaza kama una kijihela kidogo uza hata maji ijiongeze kuliko hii ya kusubiri hela za kuchuma kama maembe hazipogi hizi hela.Hivi hawa ni legit? Au nitaliwa hata hiki kidogo nilichonacho?View attachment 3561813
Naongea na Sharp boys and girls.Hakuna hela ya rahisi dogo kaza kama una kijihela kidogo uza hata maji ijiongeze kuliko hii ya kusubiri hela za kuchuma kama maembe hazipogi hizi hela.
Sasa nani ametaka hela ya bure,nimeuliza watu watupe fursa zilizoko on internet.Bila kuongeza value kwa mtu mwingine, au kutatua changamoto ya mtu mwingine hutaweza kupata hela
Vinginevyo uka bet
Unaweza kuongea jambo bila kuweka dharau ndani yake?Unajiita proxy na hujui kutumia proxy upate hela 😅🙌
Pole ya nini takataka?