donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Sharobaro ndan ya kanisa baada yakupokea divai akamwambia mchungaji,"naomba tishu meen" mchungaji kwa upole akamwambia,"Acha ushoga k*¤***ko 2po kanisani hapa"
mbona alishindwa kuokota elf 20 alizodondosha baada ya kuwaona masistaduu wawili wakija mbele yake? Kibaya zaidi wale mabint wakaziokota