sharobaro na shangingi

sharobaro na shangingi

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,416
Sharobaro alikuwa chumbani na shangingi,
shangingi akavua nguo zote na kuzitundika
kabatini, sharobaro akastuka kuona shangingi
yule ameweka bastola kitandani akauliza hii
nayo ya nini? Shangingi akajibu wanaume
wengine washenzi sana wanakuvuruga usiku
kucha halafu asubuhi wanakupa 150,000/=
tu, zitakusaidia nini? Sharobaro akaanguka
chini kwa mstuko na kupoteza fahamu.
Shangingi alipomkagua alikuwa na buku
tano!!
 
sasa anaanguka nini,si angemwambia ngoja nikanunue maji ya kunywa.
 
Hivi huyu dada yuko wapi... Ina maana kushindwa kwake kwenye mashindano ya Miss chit chat, yamemkimbiza JF kabisa.

Nadhani atakuwa yuko Bagamoyo kwa sababu alinambia ana safari ya huko kwa ajili ya KUMTENGENEZA boss wake
 
Hivi huyu dada yuko wapi... Ina maana kushindwa kwake kwenye mashindano ya Miss chit chat, yamemkimbiza JF kabisa.

Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! You WISH NIWE NIMEHAMA!!!!!!!!!!! Im here to stay baby you better get used to it!!!!!!
 
Itakuwa aliingia anga za lara 1 ndo huwa anatembea na kitu ya berreta! Lol

Baba V unanitafuta kwa SATELITE!!!!!!!!!!! Jiangalie hizi ANGA ZA WENYEWE!!!! Mwanao V atakosa ADA ya shule ohooooo! MAJI YASHAZIDI UNGA!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom