mi ninanuaga sh 2000 cjui ingikuaje
nawewe, aah! bei hiyo unataka wa kukufulia chupi mwana? Nenda rozana buguruni! inapigiwa debe...Tigo buku jero, voda nyongeza! Tigo buku jero voda nyongeza! maongezi yapo! maongezi yapo! wateja wa kudumu mkopo ruksa! ukitaka kujiunga na bili maelewano! haina shobo mchizi wangu.