Kijana ameondoka mapema sana, japo kifo hakina umri lakini inauma sana kwa kijana wa umri ule, maisha ndio yanaanza, wazazi wanapumua wakijua sasa kijana anawasaidia katika hii ziki ya TZ, wasanii nao wanajua mtu fulani ameongezeka katika fani huku wengine wakifikiria jinsi ya kupata maujanja toka kwa Sharo, ghafla kijana anazimika kama mshumaa anatuacha tunaulizana, tuna majonzi tunatafuta mchawi lakini ndio hivyo MUNGU amempenda zaidi..........tuliobaki tumuombee na kukumbuka kuwa hapa duniani tu wapitaji........R.I.P SHARO......Binti yangu wa miaka 2 anapenda sana msemo wako wa kule hakukaliki men ananifanya nacheka kila wakati.