Sharo "b" yoooooo! (Doctor)

Sharo "b" yoooooo! (Doctor)

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
29
Sharobaro anaumwa tumbo la kuharisha, kufika kwa dokta anaambiwa aelezee shida yake, akaanza "Unajua meen naumwa meen"
Dokta; Unaumwa nini?
Sharo B: Meen naumwa tumbo alafu nakunya Haraka haraka meen. (Kuharisha)
Dokta; aah, unahara wewe.
 
hahahaaaaaaaaaa! eti nakunya harak haraka!
 
Yoo man ninadanchi faster nazani menu ya jana ndo chanzo man
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom