Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

View attachment 1662012
View attachment 1662013

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
Africa: Rabobank cuts reg risk in new venture

By Olivier Holmey

September 28, 2016

Regional stakes join FMO and Norfund assets; indirect, lower ownership reduces liability.

Rabobank has launched a new €660 million African banking joint venture, Arise, reaffirming its commitment to African banking and development.

[https://assets]

Berry Marttin,
Rabobank

In the new firm the Dutch mutual group will fuse its five minority stakes in African banks with two similar stakes held by Dutch development bank FMO, and six others owned by Norfund, an emerging market-focused state-run investment firm based in Oslo.

The company will grow to €1 billion over three to four years, says Deepak Malik, Norfund’s regional director, who will be CEO when Arise starts operations on January 1. One of Ghana’s top banks is already in negotiations to sell a stake to Arise, says Malik. Arise will seek new investments in west Africa, in particular.

The three parties and KPMG valued the existing holdings, in 10 banks spread across 20 countries, at €660 million.

These will be Arise’s initial assets, covering a large chunk of the biggest retail banks in east and southern Africa, notably Rabo’s stakes of 35% in National Microfinance Bank in Tanzania and 46% in Zanaco in Zambia. Norfund also owns 12% of Equity Bank in Kenya.

If, as envisaged, Portuguese mutual lender and Rabo’s Mozambique co-investor Montepio joins Arise, the venture will also have a large stake in Angola’s Finibanco.

But local staff are under no illusions about the challenges ahead. “Banks in Africa are looked upon by the regulators as risky business,” says Ineke Bussemaker, NMB’s CEO and a former Rabobank insider.

For FMO and Norfund, the venture constitutes a big new investment in African banking, involving several hundred million dollars in new capital deployment in the next three to four years.

“This is an excellent opportunity to enlarge our presence in Africa and participate in a platform that has scale,” says Jaap Reinking, financial institutions specialist at FMO.

For Rabo though, it may not constitute such a big new investment. FMO and Norfund will own 27% and 48% of Arise, respectively. Rabobank’s stake will be 25%. These proportions could decrease slightly, too, if Montepio joins. Yet Rabobank is only getting 25% as its partners will deploy more of the new cash, possibly partly by providing a higher proportion of the funding for new acquisitions, such as Ghana.

If existing stakes alone were counted, Rabobank would have about 45%, Norfund 30% and FMO 25%, says Reinking. Not coincidentally, as Bussemaker points out, 25% is the level that US regulations define as ownership of banks, and by extension liability, for any failures in areas like anti-money laundering. Rabobank, with banking operations in the US, must consider this more carefully than the other parties.

Reducing stakes

The aim is for Arise to hold minority stakes in banks with a bent for retail banking, SMEs, the unbanked and agriculture (the latter is one of Rabobank’s specialisms). It will gradually reduce stakes in some banks, where previous overlaps between the four parties bring it to a majority. Banks primarily focused on wealth and investment banking will not be part of the venture.

Rabobank will end up with a stake it feels more comfortable owning. There will even be a small positive impact to its profit and loss account from the transfers.

As such, the new venture looks less like Atlas Mara (Bob Diamond’s African bank investment vehicle). Instead, it is perhaps more in tune with Barclays’ decision in March to cut off its African business as CEO Jes Staley had similar concerns to Rabo over liabilities. His group’s 62% ownership of Barclays Africa meant it had to assume all the regulatory costs, while gaining only two thirds of the profit.

“We didn’t want to take the easy option of risk avoidance and just exit,” says Berry Marttin, Rabo’s board member responsible for the rural and international division. “Our reach is going to grow. We all know the constraints [of operating as an international bank in Africa] but the question is can you find a structure where you can move forward? That’s what we think we’ve found.”

Marttin says Rabo’s technical and managerial support for the various banks, such as sending trainees to the Netherlands, will continue, and spread to new lenders, while teaming up with similar assistance from FMO and Norfund. Arise is already recruiting a team of around 25 people, to be based in Cape Town, and at least one senior manager will come from Rabobank. The back office will be in the Netherlands.
 
Maombi yetu yamejibiwa, mgeni kaondoka mwenyewe.

Benki inayofanya miamala yote ya serikali haiwezi kumilikiwa na wakala wa nje.

Na taasi ya kifedha kubwa kuliko zote nchini haiwezi kuwa benki ya kigeni.

Julius Nyerere, aliyetumia kila pumzi ya maisha yake kutetea utashi wa Mwafrika, amefufuka katika wafu.
 
Hii ni dalili ya NMB kushindwa kutoa mikopo mikubwa kwa wateja wake ikiwemo serikali kwahio hata miradi ya kiserikali kama elimu bure ita yumba kama jinsi miradi mingine ya serikali inavyo yumba sasa hivi.Napenda kutoa rai serikali isiingilie kati kutaka kukontrol the bank kwani itafanya hali iwembovu zaidi.
 
Maombi yetu yamejibiwa, mgeni kaondoka mwenyewe.

Benki inayofanya miamala yote ya serikali haiwezi kumilikiwa na wakala wa nje.

Na taasi ya kifedha kubwa kuliko zote nchini haiwezi kuwa benki ya kigeni.

Julius Nyerere, aliyetumia kila pumzi ya maisha yake kutetea utashi wa Mwafrika, amefufuka katika wafu.

Watu wenye akili ndogo kama wewe ndo
Usikute wanamshauri Rais now..

Hii Nmb ilikuwa benk benk ndogo kabisa
Ilianzishwa baada ya shinikizo kufuatia kuuzwa NBC..
Hawa wa Dutch ndo wameikuza hadi imekuwa Bank kubwa kuliko zote TZ..
Wenye akili za sisimizi ndo watafurahia kuondoka hawa wazungu
 
Mtu amejikunja na katecno kake anafurahia serikali kujiingiza kufanya biashara, Afrika tunasafari ndefu sana.
 
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

View attachment 1662012
View attachment 1662013

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
Kunaweza kukawa na uhusiano wowote na new management? najiuliza tuu,maana Nmb wamepata new CEO ambaye nadhani kwa mara ya kwanza ni mbongo.Sijui kama kulikuwa na shinikizo la kisiasa upatikanaji wake.hivyo labda trust ya muwekezaji imeshuka baada ya kunusa madudu .Nadhani pia wanamfahamu uwezo wake kwa sababu alitoka ndani ya Nmb.

Rabobank ni Benki ya Ki-dachi,so ni muwekezeaji anayeijua vizuri biashara ya benki.Maamuzi yake yatakuwa siyo ya kubahatisha ,yamechagizwa na matokeo ya mahesabu waliyofanya.

Ila pia sijajua mambo ya stock exchange,serikali si pia itakuwa imeingiza mpunga kidogo kwenye miamala ya uuzaji wa hizo hisa eti?
 
B

Information not complete, hujui kwanini kaondoka.Hujui hisa zake kamuuzia nani.Hujui kama ni serikali au ni local au foreign investors.
Ila una wasisi na outcome.
Kwa hiyo kwako huoni kwamba hii ni habari muhimu inayostahili kujadiliwa?

Nakufahamu wewe kama mlevi wa mapenzi ya udikteta; kwa hiyo usijihangaishe kutafuta nijibishane na wewe juu ya hili.
Huna 'objectivity' yoyote inayokufanya uone mambo kwa rangi yoyote isipokuwa hiyo ya nyimbo za sifa.
 
B

Information not complete, hujui kwanini kaondoka.Hujui hisa zake kamuuzia nani.Hujui kama ni serikali au ni local au foreign investors.
Ila una wasisi na outcome.
Information utazipata tu zote mkuu.. kuwa na subra.. kwa jana tarehe 28 sikuona kama zilinunuliwa which means ni buy back ya NMB tutayajua yote hayo ndani ya mda mfupi
 
Maombi yetu yamejibiwa, mgeni kaondoka mwenyewe.

Benki inayofanya miamala yote ya serikali haiwezi kumilikiwa na wakala wa nje.

Na taasi ya kifedha kubwa kuliko zote nchini haiwezi kuwa benki ya kigeni.

Julius Nyerere, aliyetumia kila pumzi ya maisha yake kutetea utashi wa Mwafrika, amefufuka katika wafu.

Huo utashi wa mwafrika uliokuwa unatetewa na Nyerere ilikuwaje tukavaa viraka?
 
Kunaweza kukawa na uhusiano wowote na new management? najiuliza tuu,maana Nmb wamepata new CEO ambaye nadhani kwa mara ya kwanza ni mbongo.Sijui kama kulikuwa na shinikizo la kisiasa upatikanaji wake.hivyo labda trust ya muwekezaji imeshuka baada ya kunusa madudu .Nadhani pia wanamfahamu uwezo wake kwa sababu alitoka ndani ya Nmb.

Rabobank ni Benki ya Ki-dachi,so ni muwekezeaji anayeijua vizuri biashara ya benki.Maamuzi yake yatakuwa siyo ya kubahatisha ,yamechagizwa na matokeo ya mahesabu waliyofanya.

Ila pia sijajua mambo ya stock exchange,serikali si pia itakuwa imeingiza mpunga kidogo kwenye miamala ya uuzaji wa hizo hisa eti?
Kama wameondoka, kutakuwa na sababu muhimu iliyowafanya waondoke.

Tunahimiza "uwekezaji", na hapo hapo, hatutoi mvuto wa kuwaleta wawekezaji? Haya ni maswali yanayohitaji majibu.
 
Kunaweza kukawa na uhusiano wowote na new management? najiuliza tuu,maana Nmb wamepata new CEO ambaye nadhani kwa mara ya kwanza ni mbongo.Sijui kama kulikuwa na shinikizo la kisiasa upatikanaji wake.hivyo labda trust ya muwekezaji imeshuka baada ya kunusa madudu .Nadhani pia wanamfahamu uwezo wake kwa sababu alitoka ndani ya Nmb.

Rabobank ni Benki ya Ki-dachi,so ni muwekezeaji anayeijua vizuri biashara ya benki.Maamuzi yake yatakuwa siyo ya kubahatisha ,yamechagizwa na matokeo ya mahesabu waliyofanya.

Ila pia sijajua mambo ya stock exchange,serikali si pia itakuwa imeingiza mpunga kidogo kwenye miamala ya uuzaji wa hizo hisa eti?

Actually hawa Robobank walikuwa head hunted ..walitafutwa na kushawishiwa kuwa
Sehemu ya bank mpya then ..
Robobank Wana historia the best in the world
Kwenye microbanking...

Na waliitoa NMB kutoka bank mpya ya walalahoi Hadi kuwa bank kubwa kuliko zote TZ...

Sasa tunawaletea uswahili wetu wa kuona mavuno na kuingiza tamaa
 
Back
Top Bottom