Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

Jamani eeeh.. mtu wa ndani wa NMB tunaomba mjazie nyama kwenye huu uzi..
Haihitaji mtu wa ndani, tumia kichwa chako kwa dakika tano tu inatosha kupata majibu

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc

NMB Bank’s largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise. The partnership was officially launched in Cape Town, South Africa in February 2017.

The ambition of the partnership is to build strong, locally owned financial institutions that serve small and medium enterprises (SMEs), the rural sector, and clients who have not previously had access to financial services.

Rabobank, FMO and Norfund have each in their individual capacities been successful in the development of the financial sector in Africa. Through Arise, the partners aim to continue to adequately support the growth and advancement of financial institutions by proactively providing among other things, technical assistance and management services in the fields of governance, management, marketing, innovation, compliance and risk management.

To achieve their goal, members of the partnership agreed to pool together their networks, expertise and assets, including the stakes they individually held in several financial institutions in Sub-Saharan Africa (SSA). For Rabobank, this represents its shareholding in a number of financial institutions in SSA including NMB Bank Plc (NMB).

The transfer of Rabobank’s shares in NMB to Arise is subject to regulatory approvals both at shareholder level as well as at the various national levels. Rabobank has lodged its share transfer request at the Ministry of Finance (MOF), the Bank of Tanzania (BOT) and the Capital Markets and Securities Authority (CMSA).

NMB will provide an update of the proceedings upon the receipt of responses from the regulatory bodies
 
Swala la Rabobank kuondoka nilisikia fununu toka 2018 ndio maana CEO Busmakers alitema mzigo na NMB kuchagua CEO mzawa, shortly Rabobank iliibeba sana NMB
Naona harufu mbaya kwa NMB
Kwasababu mnaishi kichawi kila linalotokea mtalihusianisha na uchawi. Huo ni mfano tu, sijasema wewe mchawi 😂 maana akili zingine kung'amua yasemwayo ni ngumu.

Niishie kukupa mwangaza wa Rabobank na hisa zake maana nikiingia kwa CEO nitakuvuruga zaidi...

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc

NMB Bank’s largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise. The partnership was officially launched in Cape Town, South Africa in February 2017.

The ambition of the partnership is to build strong, locally owned financial institutions that serve small and medium enterprises (SMEs), the rural sector, and clients who have not previously had access to financial services.

Rabobank, FMO and Norfund have each in their individual capacities been successful in the development of the financial sector in Africa. Through Arise, the partners aim to continue to adequately support the growth and advancement of financial institutions by proactively providing among other things, technical assistance and management services in the fields of governance, management, marketing, innovation, compliance and risk management.

To achieve their goal, members of the partnership agreed to pool together their networks, expertise and assets, including the stakes they individually held in several financial institutions in Sub-Saharan Africa (SSA). For Rabobank, this represents its shareholding in a number of financial institutions in SSA including NMB Bank Plc (NMB).

The transfer of Rabobank’s shares in NMB to Arise is subject to regulatory approvals both at shareholder level as well as at the various national levels. Rabobank has lodged its share transfer request at the Ministry of Finance (MOF), the Bank of Tanzania (BOT) and the Capital Markets and Securities Authority (CMSA).

NMB will provide an update of the proceedings upon the receipt of responses from the regulatory bodies
 
Ukiwa uelewi jambo ni bora ungekaa kimya, ila sio kosa lako bali unasumbuliwa na ujuaji wakati hujui.
Sie tuliomo ndan NMB tunakuona km kiazi tu
Maombi yetu yamejibiwa, mgeni kaondoka mwenyewe.

Benki inayofanya miamala yote ya serikali haiwezi kumilikiwa na wakala wa nje.

Na taasi ya kifedha kubwa kuliko zote nchini haiwezi kuwa benki ya kigeni.

Julius Nyerere, aliyetumia kila pumzi ya maisha yake kutetea utashi wa Mwafrika, amefufuka katika wafu.
 
Kinachoendelea NMB ndan hukijui, hata wakati NMB anafloat share zake kwa mlioko nje mlihisi ni kwa kuwa NMB ilielekea kufa ila haikuwa kweli, ile ilikuwa muendelezo wa ubabe wa mkapa.
Wala hatukuhita wawekezaj kwa wkt ule.
Soma vzr historia ya NMB mpaka ikawa strong hivi, wakati inavunjwa kutoka NBC tulipewa majengo tu ila mtaji akapewa NBC na NMB ikabatizwa jina la benki ya makabwela wakina mkapa walijua inaenda kufa kinyume chake kwa sasa ndio babalao, hii taharifa muulize CRDB ndo anaujua ubabe wa NMB, baada ya CEO wao kuwa Bw Nsekela alichokifanya ni kuchukua cream yote ya staff wa NMB sasa kwa faida ndo tunamzunguka mara mbili km unabisha muulize au uliza
Hii ni dalili ya NMB kushindwa kutoa mikopo mikubwa kwa wateja wake ikiwemo serikali kwahio hata miradi ya kiserikali kama elimu bure ita yumba kama jinsi miradi mingine ya serikali inavyo yumba sasa hivi.Napenda kutoa rai serikali isiingilie kati kutaka kukontrol the bank kwani itafanya hali iwembovu zaidi.
 
Toa mfano mkuu, haachana na mambo ya hearsay
Sasa cha ajabu utakuta taasisi za serikali zinazuiwa kufanya biashara na hata bank hii

Yaani kila kitu BOT wakati hata hii bank na CRDB ni benk za umma..

Hatujui kabisa huu upumbavu unavyoumiza uchumi
 
Na wewe hujui, wadutch wameichukua ikiwa tayari benki kubwa, fuatilia ujulishwe kwani kutojua wala sio kosa
Watu wenye akili ndogo kama wewe ndo
Usikute wanamshauri Rais now..

Hii Nmb ilikuwa benk benk ndogo kabisa
Ilianzishwa baada ya shinikizo kufuatia kuuzwa NBC..
Hawa wa Dutch ndo wameikuza hadi imekuwa Bank kubwa kuliko zote TZ..
Wenye akili za sisimizi ndo watafurahia kuondoka hawa wazungu
 
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao (ntazidi kufuatilia)

Ikiwa kama NMB wame buy back au local investor amenunua, ina maana inakuwa moja kwa moja na impact kwenye uchumi wetu, in terms of capital outflow ya Dola takribani $ 183 Million zitaondoka kwenye uchumi wetu kuwalipa Rabobank mchuzi wao.

Ikiwa kama kuna another foreign investor amezinunua, hapo hakuna impact yoyote kwenye uchumi maana hakutakuwa na capital outflow ya Dola. Japokuwa nimeangalia jana kwenye report ya broker, sijaona kama kuna investor wa nje amezinunua (more likely ni buy back ya NMB) ambayo itaipa serikali kuwa shareholder mkubwa.

Kwa angle nyingine pia, naona kama kuna uwezekano wa serikali kuwa shareholder mkubwa wa NMB endapo kama NMB wame buy back which means shareholder mkubwa atakuwa ni Hazina (Treasury Registrar) kitu ambacho mimi nakiona hakina afya hata kidogo ukizingatia historian a performance ya benki zinazomilikiwa na serikali.

View attachment 1662012
View attachment 1662013

Sijajua sababu haswa iliyowafanya kuondoka Tanzania, kuna possibilities nyingi, labda watu wa NMB wanaweza kuwa wanaelewa vema nini kinaendelea. Kama ni decision yao kama wao inawezekana labda wameona outlook ya banking industry kwa Tanzania labda sio nzuri kwa mbeleni ndio maana wameamua kuondoa mtaji wao au sijui kama ni msukumo kutoka serikalini kutaka kui-contro, benki ya NMB which means labda 'Rabobank Kafukuzwa'... nadhani siku chache za mbeleni tutajua nini haswa ndo sababu.

Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.

Mjumbe hauawi
N. Mushi
Mkuu post yako imeonyesha umahiri mkubwa wa kutumia uhuru wako wa kutoa mawazo zaidi kuliko uhuru wa kufiri hivyo kuleta taharuki isyo na maana
About 14,700 results (0.42 seconds)

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc. NMB Bank's largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise.

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in ...​

www.nmbbank.co.tz › investor-updates › 386-rabobank-...

Feedback
About featured snippets

Web results​

NMB Bank gets new shareholder - The Citizen​

www.thecitizen.co.tz › The Citizen › News › Business

20 hours ago — This comes after the bank's shares that were held by Rabobank - a Dutch ... had lodged a request to transfer its stake in NMB Bank Plc for ...

CMSA Approves Rabobank's share transfer in NMB Bank Plc ...​

fullshangweblog.co.tz › Biashara

Translate this page
2 days ago — ... shares, which constitute a 34.9% stake transferred to Arise. The CMSA approval comes after Rabobank had lodged its share transfer request ...
 
Kinachoendelea NMB ndan hukijui, hata wakati NMB anafloat share zake kwa mlioko nje mlihisi ni kwa kuwa NMB ilielekea kufa ila haikuwa kweli, ile ilikuwa muendelezo wa ubabe wa mkapa.
Wala hatukuhita wawekezaj kwa wkt ule.
Soma vzr historia ya NMB mpaka ikawa strong hivi, wakati inavunjwa kutoka NBC tulipewa majengo tu ila mtaji akapewa NBC na NMB ikabatizwa jina la benki ya makabwela wakina mkapa walijua inaenda kufa kinyume chake kwa sasa ndio babalao, hii taharifa muulize CRDB ndo anaujua ubabe wa NMB, baada ya CEO wao kuwa Bw Nsekela alichokifanya ni kuchukua cream yote ya staff wa NMB sasa kwa faida ndo tunamzunguka mara mbili km unabisha muulize au uliza
Mkapa unamuonea bure mwache ampumuzike. Unaongea kana kwamba RABO BANK PLC uliwaleta wewe- ebo
 
Lakini kwa namna na sababu yoyote, bado hii exit ya Rabobank sio kitu ambacho nakiona kama kina afya kwa NMB kama benki, na pia kinaweza kuwa na impact kwenye FDI kwa Tanzania.
Acha kujitisha,mbia yoyote ana haki ya kuuza hisa
Ilipovunjwa NBC mlipiga sana kelele,sasa serikali inaelekea kumiliki Nmb mnaanza kujitisha
 
Mkuu post yako imeonyesha umahiri mkubwa wa kutumia uhuru wako wa kutoa mawazo zaidi kuliko uhuru wa kufiri hivyo kuleta taharuki isyo na maana
About 14,700 results (0.42 seconds)

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in NMB Bank Plc. NMB Bank's largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise.

Rabobank has lodged a share transfer request for its stake in ...

www.nmbbank.co.tz › investor-updates › 386-rabobank-...

Feedback
About featured snippets

Web results​

NMB Bank gets new shareholder - The Citizen

www.thecitizen.co.tz › The Citizen › News › Business

20 hours ago — This comes after the bank's shares that were held by Rabobank - a Dutch ... had lodged a request to transfer its stake in NMB Bank Plc for ...

CMSA Approves Rabobank's share transfer in NMB Bank Plc ...

fullshangweblog.co.tz › Biashara

Translate this page
2 days ago — ... shares, which constitute a 34.9% stake transferred to Arise. The CMSA approval comes after Rabobank had lodged its share transfer request ...
Asante sana kwa taarifa sahihi. Kumbe hawajaondoka bali waliunda holding company ambayo imemeza shareholders wale wale. Ningeshangaa mwekezaji ataachaje a very performing investment kama NMB. Siyo rahisi.
 
Karibu- mtoa post mchochezi sana anataka kuifanaya serikali na Tanzania INAONEKANE SIYO RAFIKI KWA UWEKEZAJI
 
Utakua muongo

Rabobank kajiuzia hisa yeye yeye mwenyewe?

I dont believe you....I just cant!

Kilaza wewe,

Kuna transafer nyingi, soma hiyo article yote usisubiri nikusomee wakati nimekutafutia na kukuwekea hapo.

Acha ukilaza na uzembe. Hapo hajauza.

Ina maana Barrick alijiuzia yeye mwenyewe hisa za kampuni mpya ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia wa serikali na Barrick. Yaani akili hizi za kushikiwa na akina Bob Amstaderm shida kweli
 
Wasepe tu kama
Tunaweza kukusanya kodi 2T kwa mwezi walipa kodi wapo wengi customers watongezeka bank na kuwekeza
 
Kuna jambo ambalo halijasemwa vizuri juu ya sababu hasa iliyoifanya Rabobank kuhamisha hisa zake NMB kwenda kampuni ya Arise ambayo nayo Rabo ni miongoni mwa wamiliki. Sheria za benki katika Jumuiya ya Ulaya imetaka benki zinazomiliki moja kwa moja kampuni tanzu nje ya Ulaya ziwe na mtaji zaidi kinyume na awali. Hii imefanya benki za Ulaya zifikirie namna ya kuwa na indirect badala ya direct ownership kwy hizo kampuni tanzu. Arise itaipa Rabo indirect ownership kwenye subsidiries zake katika nchi za Afrika NMB ikiwemo. Mfano mwingine ni Barclays Bank Plc ambao wao kimsingi wameamwua kabisa kuondoka Afrika na ndio maana sasa hapa Tanzania tuna Absa Bank Tanzania badala ya Barclays Bank Tanzania. Hiyo ndo sababu iliyofanya Rabo kuhamisha hisa zake na wala sio sababu zinazosemwa na baadhi yetu. NMB ni benki ambayo mwekezaji yeyote anayeona mbali hatapenda kuondoka.
 
FNB walifunga branch Sinza. DTB walifunga branch ya Mandela Road na ya pale Fire Kariakoo. Mambo ni mengi aisee.
Benki zinapitia wakati mgumu sana kipindi hiki,Biashara nyingi zina struggle.Note that,mabenki kukua, yanategemea kukopesha wafanyabiashara,kama biashara haziendi impact yake ndo hiyo.High npl rates,Loss making,capital shrinking and eventually liquidation follow.
 
Back
Top Bottom