Ndugu zetu wa NMB Mafinga badilikeni

Remoteque337

Member
Oct 14, 2023
18
41
Mafinga ni mji unaokua kwa kasi na si ajabu baada ya miaka miwili mji ukatangazwa kuwa manispaa.

Wanajamvi leo nimeona niongelee kero iliyopo NMB Mafinga;

1. Kukosekana pesa pale ATM ni jambo jepesi kama kumsukuma mlevi na hali hii kwa uzoefu wangu wa kuishi apa kwa miezi mitatu ni jambo linalojirudia kila siku ni nadla kwenda pale na ukute ATM mashine zote 2 zinatoa pesa.

Jambo ili linaichafua bank kwasababu watu huzani kuna kamchezo kati ya mawakala na bank dhidi ya wateja.nimeshuhudia mara kadhaa nikiwa apo bank,naumizwa pia na maangaiko wanayopitia wateja wao ambao wengi ni watumishi, ambao wanapanga foleni muda mrefu mno huku wakipishana kwenye mashine moja,wamama watu wazima kwa wazee.

2.kiwango cha pesa kinachotoka kwa awamu ni laki 2 tu.

Sijui nn kimetokea lakini kwa uzoefu wangu tulikuwa tunatoa laki 4, hii pia ni kero kwamaana kuna gharama za kuingiza kadi pale kwenye mashine kuingiza mara nyingi maana yake makato mengi, tutawahama acheni biashara iyo rudisheni kiwango cha awali.

ndugu zetu wa NMB MAFINGA badilikeni, ongezeni ufanisi katika kutoa huduma.
 
Kwamba

kwamba isitoe laki 4 itoe laki 2
Siku nyingine inamwaga masarafu tu ya gome la Nyerere lenye ng'ombe nyuma

60abd67eabbd30.03638352-original.jpg

60abd67eabbd30.03638352-original.jpg
 
Back
Top Bottom