Mambo tunayomfanyia Barrick kwa sasa dunia nzima ya wawekezaji it's a talk of town.
Watu wanaangalia jinsi tunavyomkomesha Barrick , tunavyoharrass wafanyakazi wake, tunavyoua thamani yake kwenye soko la hisa with just 'Sukuma land allegations'
Halafu kesho tuwafuate wawekezaji sijui na nyimbo gani,tuwaambie waje wawekeze?
Lazima wajiulize, kama tumeweza kuutendea hivi mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu?
Na hapa ndio utashangaa, anayeihitaji smelter ni Magufuli, anayeambiwa ajenge ni Barrick. This is stupid reallyHao wawekezaji wa ukweli mbona hawakupewa hiyo migodi? Tumeshindwa hata viwanda vya toothpick tutaweza kuchimba madini na kuyauza wenyewe? kama uwezo upo why Magu alazimishe kwamba Barick watajenga smelter? si serikali ijenge
OK then, comment yako ni ya tofauti kabisa. Asante mkuu, ukumbuke kurudi nyumbani,Sielewi chochote. Ila mwisho wa siku Kama kweli Mtanzania na huna damu ya Sudan Kusini. Ni wakati wa kusimamia Uzalendo. Sisi tunaishi Ulaya. Tunaonja maana ya neno Uzalendo. Hawa wenzetu kwa Vitu vyao. Wanascandal nyingi za wazazi kula watoto wao wa kike lakini kama tumesikia ni kwa bahati mbaya lakini hutaonyeshwa mtu. Huku sioni walinzi. Kama wezi basi wageni. Mtoto atafanya mapenzi lakini anajua anachofanya. Hapa kupigana ni kosa kubwa sana. Wazungu watakoromeana mpka watakuwa wekunduuuu lakini nobody atathubutu kuinua ngumi. Na vitu viko Ndani watoto wamekuzwa navyo. Kodi zaidi ya 50 percent. Hakuna malipo hata ya Euro 0.50. itaingia kwenye mashine nk. Lakini wanakwambia walikuwa maskini sana iliwachukua sadaka ya miaka mingi kuweza kufikia hapa. Hata sio 50 tu hiyo tunayolilia sisi. Sisi tunafactors nyingi. Na hata tunapiga kelele JPM wazungu wanafurahia. Divide and rule. Hata akija huyu Lisu sijui. Ndo itakuwa mbaya zaidi. Akitaka kusifiwa basi atauza hata nchi. Akimaliza Muda wake ndo mnastuka ehhhh. So wtz pamoja na uzuzu wetu tujifunze kwanza tu uzalendo. Kwetu hata mtoto wako akikosa utampigania tu hata kama unajua kachemka. I
Kwa hiyo wewe unaona waendelee kubeba tu?We jamaa unadhani mgodi ni kama duka la mhindi! sio kwamba TRA ni wapuuzi au hawana akili, wanafanya kumridhisha mtu. Facts zinajulikana. kama umewahi fanya uhasibu kwenye kampuni popote pale tanzania utajua tu hili swala la acacia tumeingia chaka big time
Hyo ni huko kwa wenzetu kaka. Huku kwetu sisi tupo tayar kumtukana na kumsema vibaya mtu anayetutetea ili mradi tu tumuunge mkono mtu anayetaka sifa kwa maslahi yake. Yaan ni shida. Mpaka inafika watu wanaombea serikali ishtakiwe na wazungu ili kusiwe na mafanikio ya kimaendeleo kwa mpjligania haki.Sielewi chochote. Ila mwisho wa siku Kama kweli Mtanzania na huna damu ya Sudan Kusini. Ni wakati wa kusimamia Uzalendo. Sisi tunaishi Ulaya. Tunaonja maana ya neno Uzalendo. Hawa wenzetu kwa Vitu vyao. Wanascandal nyingi za wazazi kula watoto wao wa kike lakini kama tumesikia ni kwa bahati mbaya lakini hutaonyeshwa mtu. Huku sioni walinzi. Kama wezi basi wageni. Mtoto atafanya mapenzi lakini anajua anachofanya. Hapa kupigana ni kosa kubwa sana. Wazungu watakoromeana mpka watakuwa wekunduuuu lakini nobody atathubutu kuinua ngumi. Na vitu viko Ndani watoto wamekuzwa navyo. Kodi zaidi ya 50 percent. Hakuna malipo hata ya Euro 0.50. itaingia kwenye mashine nk. Lakini wanakwambia walikuwa maskini sana iliwachukua sadaka ya miaka mingi kuweza kufikia hapa. Hata sio 50 tu hiyo tunayolilia sisi. Sisi tunafactors nyingi. Na hata tunapiga kelele JPM wazungu wanafurahia. Divide and rule. Hata akija huyu Lisu sijui. Ndo itakuwa mbaya zaidi. Akitaka kusifiwa basi atauza hata nchi. Akimaliza Muda wake ndo mnastuka ehhhh. So wtz pamoja na uzuzu wetu tujifunze kwanza tu uzalendo. Kwetu hata mtoto wako akikosa utampigania tu hata kama unajua kachemka. I
Ww ni miongoni mwa wajinga wachache am sorry japo utakuwa umesoma lakn elimu yako haijakukomboa.Hivi katika washauri wa Mh. Raisi hakuna hata mmoja aliyesoma Corporate Finance? Achana na Uchumi, achana na uhasibu. Kama kuna mshauri huyo mwenye hiyo elimu asinge kubali mshauri this way ambapo mambo yanaharibika na nchi haitakuwa salama kiuchumi. Naona mnafurahia shares za acacia kuanguka, wengi wenu hamjui maana yake. Tutalipa gharama (we will pay the price) whichever the outcomes.
Unataka kusema Barrick haijawahi kulipa kodi?Ww ni miongoni mwa wajinga wachache am sorry japo utakuwa umesoma lakn elimu yako haijakukomboa.
Hapo mwanzo haya makampuni tulikuwa tunaenda nao sawa kimahusiano je nchi imepata faida ipi? Bora lipi uibiwe uwe maskini ili tu uwe na maelewano nao mazuri kimaneno. Na uwabane ili haki iende sawa ?
Ww ni miongoni mwa wajinga wachache am sorry japo utakuwa umesoma lakn elimu yako haijakukomboa.
Hapo mwanzo haya makampuni tulikuwa tunaenda nao sawa kimahusiano je nchi imepata faida ipi? Bora lipi uibiwe uwe maskini ili tu uwe na maelewano nao mazuri kimaneno. Na uwabane ili haki iende sawa ?
Ndio hapo sasa tumeshapata mwenye uchungu na nchi .. Kwahyo ww kaa kimya.Kwa level yako utaniona mjinga.
"Hapo mwanzo haya makampuni tulikuwa tunaenda nao sawa kimahusiano je nchi imepata faida ipi?" hapo umeandika nini sasa? Nikusaidie tu faida kwa kuwepo kwa migodi hii ni nyingi sana - kaulize wenyeji wa kahama kwa mfano watakueleza faida zake. Nenda TRA wamechukua kodi nyingi tu hapo kukutajia kwa ufupi.
"uibiwe" hapo ndo sasa akili yako ndo imeaminishwa hivyo. Kwamba atoke mwekezaji toka alikotoka, aje nchini mwako wewe mwenye nchi una TRA, TMAA, Polisi, TISS, Jeshi, sijui agencies lukiki za serikali una kila kitu halafu unakuja sema eti amekuibia. Physically eti amekuibia? haingiii akilili. Kwa mjinga tu ndo inaingia akilini ambaye hajui kazi ya hizo agansie nimezitaja.
Kama unamaanisha kuibiwa ni kuingia mikataba mibovu hapo nitakuelewa lakini kamwe kuingia au ingizwa kwenye mikataba mibovu IS NOT kuibiwa.
Hata Dar zipo Mkuu,kuna wazawa wenzio waumiaAmbao sio sisi.
Shares za ACACIA zinauzwa London Stock Exchange, nani kati yetu alienda kununua hisa huko?
Haya maumivu ya wanahisa hayatuhusu.
Kwani ye Lissu ndio atakalipa hio kodi ya Acacia?Polepole jamani! Mtamuua Tundu Lissu mjue.
Tulawaka na Buhemba vp zinafanya vizuri? Tumeshaambiwa na prof muhongo uwezo wetu ni kuzalisha juice.Barrick ni ajizi, tutawekeza wenyewe
Hiyo taarifa imetolewa na nani?Paul kuna statement hii "Tanzania sent Acacia Mining Plc a tax bill equal to almost two centuries worth of the gold producer’s revenue" kule bloomberg. Kama taarifa hii ni kweli anachokitafuta baba jeska atakipata muda si mrefu ni suala la muda tu!
Yapo makampuni mengi tu ndugu.. Sio barick pekee.. Kama dhahabu ipo mwekezaji hakosekaniHivi tutakuja kupata mwekezaji wa level ya Barrick tena kweli?