Share za ACACIA zazidi kuporomoka baada ya TRA kupeleka Tax Invoice

Sielewi chochote. Ila mwisho wa siku Kama kweli Mtanzania na huna damu ya Sudan Kusini. Ni wakati wa kusimamia Uzalendo. Sisi tunaishi Ulaya. Tunaonja maana ya neno Uzalendo. Hawa wenzetu kwa Vitu vyao. Wanascandal nyingi za wazazi kula watoto wao wa kike lakini kama tumesikia ni kwa bahati mbaya lakini hutaonyeshwa mtu. Huku sioni walinzi. Kama wezi basi wageni. Mtoto atafanya mapenzi lakini anajua anachofanya. Hapa kupigana ni kosa kubwa sana. Wazungu watakoromeana mpka watakuwa wekunduuuu lakini nobody atathubutu kuinua ngumi. Na vitu viko Ndani watoto wamekuzwa navyo. Kodi zaidi ya 50 percent. Hakuna malipo hata ya Euro 0.50. itaingia kwenye mashine nk. Lakini wanakwambia walikuwa maskini sana iliwachukua sadaka ya miaka mingi kuweza kufikia hapa. Hata sio 50 tu hiyo tunayolilia sisi. Sisi tunafactors nyingi. Na hata tunapiga kelele JPM wazungu wanafurahia. Divide and rule. Hata akija huyu Lisu sijui. Ndo itakuwa mbaya zaidi. Akitaka kusifiwa basi atauza hata nchi. Akimaliza Muda wake ndo mnastuka ehhhh. So wtz pamoja na uzuzu wetu tujifunze kwanza tu uzalendo. Kwetu hata mtoto wako akikosa utampigania tu hata kama unajua kachemka. I
 
Kwani kashuka toka mbinguni? Acha mawazo mgando.
Mambo tunayomfanyia Barrick kwa sasa dunia nzima ya wawekezaji it's a talk of town.
Watu wanaangalia jinsi tunavyomkomesha Barrick , tunavyoharrass wafanyakazi wake, tunavyoua thamani yake kwenye soko la hisa with just 'Sukuma land allegations'

Halafu kesho tuwafuate wawekezaji sijui na nyimbo gani,tuwaambie waje wawekeze?
Lazima wajiulize, kama tumeweza kuutendea hivi mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu?
 
Hivi katika washauri wa Mh. Raisi hakuna hata mmoja aliyesoma Corporate Finance? Achana na Uchumi, achana na uhasibu. Kama kuna mshauri huyo mwenye hiyo elimu asinge kubali mshauri this way ambapo mambo yanaharibika na nchi haitakuwa salama kiuchumi. Naona mnafurahia shares za acacia kuanguka, wengi wenu hamjui maana yake. Tutalipa gharama (we will pay the price) whichever the outcomes.
 
Hivi katika washauri wa Mh. Raisi hakuna hata mmoja aliyesoma Corporate Finance? Achana na Uchumi, achana na uhasibu. Kama kuna mshauri huyo mwenye hiyo elimu asinge kubali mshauri this way ambapo mambo yanaharibika na nchi haitakuwa salama kiuchumi. Naona mnafurahia shares za acacia kuanguka, wengi wenu hamjui maana yake. Tutalipa gharama (we will pay the price) whichever the outcomes.
Msikilize live sasa hivi Magu yupo TBC.

Ngoja tutalipa madeni baada ya wao kutulipa madai yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul kuna statement hii "Tanzania sent Acacia Mining Plc a tax bill equal to almost two centuries worth of the gold producer’s revenue" kule bloomberg. Kama taarifa hii ni kweli anachokitafuta baba jeska atakipata muda si mrefu ni suala la muda tu!

To put the size of the bill in perspective, Acacia, which is majority owned by Barrick Gold Corp., had total revenues of $1.05 billion last year and has reported sales of a total of $7.7 billion since 2009.

The $40 billion tax bill is more than twice what all top five global gold miners (including Barrick) combined have paid in taxes since 2000!” Hunter Hillcoat, an analyst at Investec Plc, wrote in a note to investors Tuesday.

At least two senior employees have been detained for questioning by Tanzanian authorities this month, while other employees have been interviewed by the police. On Friday, Acacia said the dispute had depleted its cash balance to $176 million from $318 million a year earlier and that it will have to shutter its flagship Bulyanhulu mine at the end of this quarter if the situation is not resolved.
 
Ni wakati wetu watanzania kuwekeza wenyewe,kujengewa masoko na kuyauza wenyewe...yani mchimbaji mbongo,Dalali mbongo,mnunuzi mixer...tutaheshimiana Tu manina.
 
Ambao sio sisi.

Shares za ACACIA zinauzwa London Stock Exchange, nani kati yetu alienda kununua hisa huko?

Haya maumivu ya wanahisa hayatuhusu.
NDIO HAYATUHUSU..KWA WAINGEREZA ITAKUA KISU KIMEPENYA KWENYE MFUPA...SIDHANI KAMA WATATUACHA SALAMA.
 
Back
Top Bottom