G 6
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 506
- 235
Duuh! aisee kama una roho ndogo unaweza ukajitundika... Ila ingekuwa Mimi ningemfanya kitu kibaya huwezi kucheza na feelings zangu namna hii pole sana BroDah hata sijui nisemeje ila ndo ivo mapenzi yanaumiza in short na atakae kutenda siku zote ni Yule usiemtegemea, kuna manzi nilimpenda hakukosa kitu kwangu sasa sijui yeye alikua anatafta nn kwangu,.. Nilimpigia simu siku moja akapokea mdau, akanambia yuko Nae gesti anamtafuna,.. Sikuamin nilimwambia anipigie badae hakupiga nikapiga Mimi baada ya nusu lisaa ivo, demu akanikana pale pale,.. Na mpaka kwao tulishajitambulisha, na nilikua nimempenda kweli,