Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 614
Pole sana Dada angu kipenz ila ipo siku yote yatapita na ukurasa mpya utafunguliwa juu yako cha msingi ni kuwa makini na moyo wako juu ya sisi viumbe wenye vichwa viwl.Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.
Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Kuna wa katika Unapaswa kutafakali kwa kina kuhusu mahusiano huku ukifikili Zaid juu ya uzur na ubaya wake. Naungana na wewe kuwa mapenzi ni mabaya hasa ukimpata mtu WA kucheza na hisia zako lakini siku ukimpata mtu akufute Machozi na kukubali mtazamo mpe nafasi lakini usimpe moyo hadi siku atakapo kubadili mtazamo kwa kukufanya usahau mapovu ya sabuni ya zaman hapo moyo wako utakuwa kwake automatically. Good lucky my Dada
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app