Share your break-up experience here for others to learn

Share your break-up experience here for others to learn

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Tuutumie huu uzi kwaajili ya kushea mikasa au visa vilivyopelekea mpaka tukaachana na wapenzi wetu,
Inaweza isiwe kumbukumbu nzuri ambayo hautaki kuikumbuka lakini hebu tujaribu kushea kwasababu itawasaidia watu wengine kujifunza.
Nitaanza mimi kuelezea..
 
''STUNTER you're a liar, stay away from me''
Hiyo kauli aliitoa binti mmoja wa kijerumani kipindi jahazi la penzi letu linazama,
Ishu ilikuwa hivi wakati nipo Form three(day)
kuna mshkaji wangu mmoja anamiliki kampuni ya kutembeza watalii Arusha na maeneo ya pwani ya kihistoria,
sasa akawa kila akipata trip ya madem walokuja alone(pekeyao) basi anatupigia pande / anatuunganishia wale madem then tunaenjoy nao mpaka muda wao wa kusepa utakapofikia,
sasa katika kipindi hiko kama dem amekuchunuku unakuta unaneemeka mbaya mbovu,
basi bhana katika harakati hizo za ujana ndipo nilipokutana na huyu
binti wakuitwaga Lisa,
na nakumbuka aliniuliza kwamba nimeshawahi kudate na demu yeyote wa abroad mi nikamwambia hapana sijawahi na wewe ndio wakwanza,
Basi bhana yule demu alikuwa amekuja trip ya wiki tatu,
kwakweli penzi lake lilininogea sana mpaka shule nikawa siendi,
nilikuwa naaga shule kwamba naumwa so napewa permit, na nyumbani nilikuwa natunga uongo wa hovyohovyo basi tulikuwa tunasafiri mara kadhaa kwenye trip zake,
ila kitu kilichokuja kufanya mpaka akanichenchia ni pale alipokuja kuzikuta picha za mademu kadhaa wa kizungu ila zilizomuumiza zaidi ni zile picha za utupu nikiwa na demu Wa kipoland aliyeitwa Amelia,
Dah mwenyewe nilijiona mjanja nilizifuta picha zote kwenye galery lakini nikasahau kumbe nilikuwa nimezi sync kwenye Drive(online)
Ile kukamata simu yangu sijui ilikuwaje akaingia kule na ndipo aliponibadilikia na tangu hapo ndo nikaamini ule usemi kwamba wazungu huwa wanamisimamo sana, Akishasema No, ni No,
manake nilimuomba msamaha mpaka kwa kilugha cha kwetu lakini mtoto wakike aligoma .
Anyway.
Funzo nililolipata hapa ni kwamba Ni vyema kuambizana ukweli hasahasa kwenye mahusiano machanga/mapya,
Hatakama ukweli huo ni wa kuumiza kwasababu njia ya muongo ni fupi, watch it
 
Waliowah kubreak up njoeni huku

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niwafuate nisikitikie kwa wenzangu
 
Mkuu naona ukweli wa kuwa wewe sio bikira wa kisukuma umejulikana jana maana watu wengi walikuwa wanahisi wewe ndio yeye
 
Tuutumie huu uzi kwaajili ya kushea mikasa au visa vilivyopelekea mpaka tukaachana na wapenzi wetu,
Inaweza isiwe kumbukumbu nzuri ambayo hautaki kuikumbuka lakini hebu tujaribu kushea kwasababu itawasaidia watu wengine kujifunza.
Nitaanza mimi kuelezea..
Umemaliza mtihani?
 
Nilikutana na huyu mwanaume alikuwa na elimu, kazi nzuri, mrefu 6.2" kwa kweli nilijiona nimeokota dodo. Pesa si tatizo kabisa Tena alikuwa ana deposit kwenye account yangu kwa kweli hata bila kwenda kazini niliishi.
Karaganda ilikuwa anaweza akupigie simu akkwambie ninaoa December, nilivumila kwanza miss ka kwanza kikapita nilipomuacha hskuamini

Nimejifunza pesa si kila kitu kwenye mzpenzi kauli ni kitu mihimu sana
 
Nilimoata huyu mwanaume alikuwa na elimu, kazi nzuri, mrefu 6.2" kwa kweli nilijiona nimeokota dodo. Pesa si tatizo kabisa Tena alikuwa ana deposit kwenye account yangu kwa kweli hata bila kwenda kazini niliidhi.
Karaganda ilikuwa anaweza akupigie simu akkwambie ninaoa December, nilikumiss ka kwanza kikapita nilipomuacha hskuamini

Nimejifunza pesa si kila kitu kwenye mzpenzi kauli ni kitu mihimu sana
pole sana,
Kwahiyo sasahivi upo tayari kuishi na kidume kisicho na kitu ila awe na kauli nzuri tu?
 
Back
Top Bottom