Share your break-up experience here for others to learn

Dah ..mkuu sijui nikupe pole ama nini ...
ndio mana sishangai mdau mmoja humu naona aliumizwa sana na comments zake mara nyingi anasema ana wish huyo aliemuumiza afe akiwa macho wazi.

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)

Uzuri kusamee mkuu, life goes on beautifully,..
 
then you deserve the best... Naona unalengo moja tu, na hii inanifanya nikutofautishe na wengine
Maisha ni malengo mkuu.hata kama baadhi ya malengo yatakuwa hayajatimia hayo yatakuwa ni yale madogo madogo tu lkni yale makubwa na ya msingi ni vizur kuyasimamia.
 
Dah, I wish I could be your mchepuko
 
Dah, I wish I could be your mchepuko

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo haiwezekani mkuu.sijawahi kuwa na mchepuko kabisa mkuu tangu kwenye mahusiano yangu yaliyopita.ila kwenye haya maisha tunayoenda nayo..inabidi nijifunze kwakweli.maana kwa ninayoyasoma huku naona hali ya mahusiano imechafuka
 
No no no big no think how to solve the problem not being part of the problem mkuu
 
Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.

Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
nakupenda sana

i hope hutanichukia
 
No no no big no think how to solve the problem not being part of the problem mkuu
Mkuu mahusiano hayaeleweki aiseeh.kwanza humu ndani kwenyewe utasikia"unakuwaje na mwanamke mmoja"nini maana yake sasa.

Tukubali hali imechafuka mkuu.kusolve tatizo ni mpka apatikane mwenye kufanya tatizo liwe solved.ukute unakutana na mtu ambae anakurudisha miaka 49ya uhuru yanini sasa.
 
Nakuomba pm samahani lakin
 
Hilo nililolisema ni limoja tu.kuna mengi nilikuwa nayaona yamekaa kifakefake nikasema ngoja nimuambie hili ambalo ni kutokuwa na kazi akinivumilia basi niliwaza vibaya.

Loh kumwambia hivyo tu mawasiliano yakakatika bila taarifa

Ngoja nikwambie,kama mtu kakupenda kwa dhati,ushamba,uchafu,kutokuwa na kazi,na mengine yenye kuvumilika atayaona ni ya kawaida sana..atakuangalia wewe na namna ya kukutoa huko uliko.

Sasa huyu nilimwambia sina kazi vipi nipo nae halafu naumwa na kazin siendi atasimama na mimi kwa kipindi kirefu??

Mwenye mapenzi ya dhati yupo tu na kama ilipangwa kuwa na mtu fulani basi nitakuwa nae tu iwe isiwe
Dah maneno yako yameniingia ipasavyo kwa kichwa...Hakika kamwe usimpende mtu kwa ajili ya kitu alichonacho bali mpende kwa jinsi alivyo hapo mtaishi kwa Amani na furaha na upendo utazidi maradufu ya hapo
 
Yani ukimpata mtu mkapendana kwa dhati,,aiseeh usimuache.
Maana wenye mapenzi ya dhati siku hizi kuwapata ni ngumu mno
 
Mapenzi kitu kibaya sana yaani nimeshaharibika akili saiv kila anaesema ananipenda na kunionyesha ananipenda mi namchukulia poa tu kwamba niwalewale huwa nakubali kuwa na MTU kwenye mahusiano ili siku ziende kwasabu mi ni mwanadamu ila future sina kuolewa naona nikama jehanam inaniita,yaani mungu aufinyange moyo wangu nirudi kuwa binadamu

Sent from my Lenovo A5600 using JamiiForums mobile app
 
Wakati unaomba Mungu aufinyange upya moyo wako nikumbuke na mie kwenye sala zako.
 
Back
Top Bottom