Share your break-up experience here for others to learn

Mimi ndio huwa nina break-in na kubreak-out...yaani kila mwanamke huwa nina lengo nae flani labda kumla tu, au nijiegeshe nivune vijipesa au kama ni Waiter basi niwe nakunywa bia za bure. Sasa experience ni nyingi, ila break-out ya mwisho ilikuwa ni waiter ambae baada ya kunywa bia nyingi kama mwezi hivi, nikaona madeni yameanza kumuandama na bosi wake, mimi huyoooo nika break-out...nyie mwasema ku-break up.

Mwingine alikuwa sugar mummy ambae alitaka kulazimisha ndoa kabisa maana shoo yangu aliitaka kila siku hadi anataka animliki mazima, basi siku hiyo nikampa shoo ya mwisho takatifu then nika break-out kwa kumwambia anipe laki 5, alipokataa nikamwambia tafuta mwanaume mwingine.
 
Real definition of Play Boy,
karibu Kwenye kambi ya kiumeni ili uweze kujifua zaidi... Salute
 
Mimi ndio huwa nina break-in na kubreak-out...yaani kila mwanamke huwa nina lengo nae flani labda kumla tu, au nijiegeshe nivune vijipesa au kama ni Waiter basi niwe nakunywa bia za bure. Sasa experience ni nyingi, ila break-out ya mwisho ilikuwa ni waiter ambae baada ya kunywa bia nyingi kama mwezi hivi, nikaona madeni yameanza kumuandama na bosi wake, mimi huyoooo nika break-out...nyie mwasema ku-break up.

Mwingine alikuwa sugar mummy ambae alitaka kulazimisha ndoa kabisa maana shoo yangu aliitaka kila siku hadi anataka animliki mazima, basi siku hiyo nikampa shoo ya mwisho takatifu then nika break-out kwa kumwambia anipe laki 5, alipokataa nikamwambia tafuta mwanaume mwingine.
We jamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Nina version nyingi sana, Lakini ambayo imenikaa kichwabi ni ile ya kuachwa na demu, Demu aliniacha akakimbilia kwa mwanamuziki wa bendi kubwa mwenye jina,Iliniuma sana.
Duh, huenda uimbaji ndio ilikuwa weakness yake, ulipaswa kujifunza kuimba hatakama ulikuwa na sauti kama ya chura
 
Aisee bahati mbaya sina sauti ya kuimba, nakumbuka babu yangu alikuwa anapenda sana kuimba, Baba yangu pia alipenda kuimba sana siku alizokuwa na furaha aliimba sana, mimi sina sauti ya kuimba.
 
Ouh! Unlucky you...
Ila piga moyo konde huenda yamekuepuka mengi
 
Back
Top Bottom