Share your break-up experience here for others to learn

Mi sitaki kukumbuka aseeh unaweza soma Uzi zangu utaelewa,.. Mapenzi penzi sio muzain kabisa,
 
Nisamehe aiseeh ila nilidhani ndie wewe uliyevuta.
Ishi miaka buku mzee
Usijali mkuu, hiyo kawaida sana na sio makosa yako, wengi walifananisha.
Tupo pamoja aisee...
Haya bwaga mauzoefu yako kuhusu kumwagana na mwandani wako
 
Pole sana,
ila unaweza kushea nasi japo mkasa mmoja, jitahidi mzee

Dah hata sijui nisemeje ila ndo ivo mapenzi yanaumiza in short na atakae kutenda siku zote ni Yule usiemtegemea, kuna manzi nilimpenda hakukosa kitu kwangu sasa sijui yeye alikua anatafta nn kwangu,.. Nilimpigia simu siku moja akapokea mdau, akanambia yuko Nae gesti anamtafuna,.. Sikuamin nilimwambia anipigie badae hakupiga nikapiga Mimi baada ya nusu lisaa ivo, demu akanikana pale pale,.. Na mpaka kwao tulishajitambulisha, na nilikua nimempenda kweli,
 
Usijali mkuu, hiyo kawaida sana na sio makosa yako, wengi walifananisha.
Tupo pamoja aisee...
Haya bwaga mauzoefu yako kuhusu kumwagana na mwandani wako
Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.

Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
 
Aisee bahati mbaya sina sauti ya kuimba, nakumbuka babu yangu alikuwa anapenda sana kuimba, Baba yangu pia alipenda kuimba sana siku alizokuwa na furaha aliimba sana, mimi sina sauti ya kuimba.
Mkuu niko na hiyo tabia kama ya mzee wako aiseeh.
 
Dah hata sijui nisemeje ila ndo ivo mapenzi yanaumiza in short na atakae kutenda siku zote ni Yule usiemtegemea, kuna manzi nilimpenda hakukosa kitu kwangu sasa sijui yeye alikua anatafta nn kwangu,.. Nilimpigia simu siku moja akapokea mdau, akanambia yuko Nae gesti anamtafuna,.. Sikuamin nilimwambia anipigie badae hakupiga nikapiga Mimi baada ya nusu lisaa ivo, demu akanikana pale pale,.. Na mpaka kwao tulishajitambulisha, na nilikua nimempenda kweli,
Pole aiseeh ndivyo ilivyo ili maisha yasonge
 
Mkuu mahusiano yangu yaliyopita huwa sipendi kabisa kuyaongelea kwa kuwa yameniachia jeraha na kunifanya kupoteza mapenzi kwa mwanaume.

Inshort moyo umeshakufa ganzi mazima.inaweza ikatokea mtu akiniambia ananipenda naona huyu nae hana kazi ya kufanya sijui...n ghafla naingia chuki juu yake.
Mwanaume mmoja kakufanya utuchukie wanaume dunia nzima?
 
Kuna mtu kanifanya nisipende tena mpaka leo..8 2015 ms
 
Daah! Bwege yule hakuwahi kunipenda...

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Watu mnaopenda kuimba mna bahati nzuri, inasaidia kuondoa stress, Pia unaburudisha moyo wako katika raha na kuondoa huzuni katika simamnzi.
Hiyo kitu inanisaidia kuliko kawaida.
Siku moja niko zangu ndani kimyaaa siku hiyo sikufanya chochote nilimake sure kila kitu kipo ndan.huwezi amini nikasikia majirani zangu wamekaa wananijadili kwa ubaya walijua sipo aiseeh nilishikwa na hasira nikinyama.

Nilitaman niwafute niwachane live lkn kwa hasira nilizokuwazo ninajijua tungeishia kubaya.
Hasira zote nikazikimbizia you tube nikakutana na wimbo wa Neema Mudosa ft Goodlucky Gozbet.nikauelewa bhana kilichofuata nikuhamishia kwenye mtambo wa sauti bana eee..sauti juu nikaurudia zaidi ya mara 15 natoka nje kila mtu kasambaratika kwake.

Hahahaha kesho yake eti mmoja wao nae nikamsikia kauweka nikaishia kucheka tu.

Kujiimbia imbia kumeniepusha na vingi.
 
Pole nimejikuta nacheka tu, majirani wengine pasua kichwa sana, wanafuatilia sana maisha ya watu wanataka sana wajue kila mtu anavyoishi.
 
Back
Top Bottom