Share uzoefu wako ulivyom-date na 'Tomboy'

Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Yapata miaka 2 kwenda mi3 sasa, nimekuwa na uhusiano wa kimapenz na Tomboy (Binti Massawe), ni binti mzuri sana yuko smart pia.

Huyu binti ni mshikaji sana na yuko real kwenye mapenzi, najivunia sababu mimi ndiye mpenzi wake wa kwanza na nilimkuta bikra.

Hawa watu tusiwaogope mapenzi wanayajua sana . Achana kudate na hawa slayqueens.

Nazan hujakutama na visanga ww ...hyo ni bahat tu...hakuna mtu hapo
 
Tom boy ni mwanamke alie na muonekano gani haswa? Tofauti ya tomboy na slayqueen ni ipi?
 
Nmewah date nae
Pitia hii thread

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Pitia hii thread

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Ahi DAtE nao hao watu , sio lazma story zifanane pia nmewah simulia humu...hao watu jau na ndo akili yangu Isha conclude hvo
 
Back
Top Bottom