Share this to support doctors' strike!

Sasa nimeamini kuwa ni Chadema wanaohamasisha mgomo, ataefunguwa hiyo picha anajuwa kwanini.
 
mkuu umetudharaaaaaaaaaaau sana sisi wakulima eti ehee! Basi kila ukienda chooni kuyapa haja masaburi yako uwe unakumbuka kuwa ni sisi wakulima tunao yanyima raha hayo masaburi yako. Unajua nini? Daktari unamwitaji siku unapoumwa tu, tena wengine wenye afya zao wala hawakumbuki ni lini mara ya mwisho walimwona daktari, lakini sisi wakulima unatuhitaji kila siku kuanzia breakfast unapoamka kutoka kitandani hadi supper unarejea kitandani. "basi kuwa na adabu ujivunze kuheshimu watu"

safi sana kwa kumfahamisha mambo mazito ambayo hakuwahi kufikiria kabisa kwamba sekta zote zina umuhimu ktk jamii.
 
safi sana kwa kumfahamisha mambo mazito ambayo hakuwahi kufikiria kabisa kwamba sekta zote zina umuhimu ktk jamii.
Hawa magamba wanasumbuliwa sana na ufinyo wa kuelewa na kufikiria mambo na ndo maana wanaishia kutoa kauli za dharau, kejeli na ku intimidate raia. Tutaendelea kidogo kidogo kuwaelimisha ingawaje wana vichwa vigumu lakini matumaini ni kwamba vizazi vijavyo watatuelewa. This current generation of magambas is a lost generation and there is nothing that can be done to help them
 
mgomo wa madaktari unafaa kwani umetoa funzo. kwa kuwa message sent nawaomba madaktari warudi kuwaokoa watanzania nao watabarikiwa milele
 
safi sana kwa kumfahamisha mambo mazito ambayo hakuwahi kufikiria kabisa kwamba sekta zote zina umuhimu ktk jamii.
Mnajikanganya.
Hao madr wenu wanapodai walipwe 17 mil /month huoni kwamba wanapinga huo msemo wa sekta zote ni muhimu? hivi ni mkulima gani anavuna 17 mil per month? je ni kada gani inalipwa hivo? tumieni akili japo kidogo basi.
 
Hawa magamba wanasumbuliwa sana na ufinyo wa kuelewa na kufikiria mambo na ndo maana wanaishia kutoa kauli za dharau, kejeli na ku intimidate raia. Tutaendelea kidogo kidogo kuwaelimisha ingawaje wana vichwa vigumu lakini matumaini ni kwamba vizazi vijavyo watatuelewa. This current generation of magambas is a lost generation and there is nothing that can be done to help them
Wewe ndio lost cause..hakuna popote nilipoonesha kudharau sekta ya kilimo, ila it is obvious people with less intellect can't see things objectively na kichaa hudhani wanaozunguka ndo vichaa. Kusema 'flani karudi kijijini kulima' huu ni usemi wa kawaida sana pale mtu anapofulia town, sasa hawa madr wenu wa kupasua kichwa badala ya mguu kama wanaona kazi ya udr hailipi , basi milango iko wazi waende kwene kazi wanazoona wao zinalipa, of coz kikiwemo kilimo. Commonsense 101.
 
Najivunia hata leo nikifa kaburi langu litaandikwa DR wewe ukifa utaandikwa Prof au kuhusu hospitali ya muhi2 ni yetu wewe ukiingia pale ni kungaa macho tu huelewi chochote ni kunynyekea tu na ni maadili yepi ya udk unayoyajua wewe kuliko dk mwenyewe jamani address zipo nyingi zinahitaji madk all ;ver the world wewe mbona husemi hiyo profesional yako
siwezi bishana na wewe naona elimu yako ndogo sana tafuta saizi yako mawazo yako ni ya kiidiot sana
tafuta kazi kwa bidii umekuja mjini kijijini kwenu wanakusubiri ukawaringie
email yangu very unfortunately huwezi ipata siwezi kukupa maana utawaringia wenzako kuwa kuna dk nawasiliana nae na mimi wewe sikujui labda naona unafaa kuwa houseboy wa nyumba yangu lete maombi nitakufikiria kwa kazi hiyo
sina muda wa kubishana na wewe, all the best
 
Self-important asshole is trying a lil bit too hard..ndo matatizo ya kuja mjini kupitia ujoni kisomo, mkifika town mnadhani wenyeji wenu ni maamuma..FYI mi nkifa kaburi langu litaandikwa DR.ENG. Abdulhaleem bin Juma bin Njelenje, mzawa wa Mzizima, kuzaliwa Ocean Road kukulia Migomigo.
Aliyekwambia kwamba sina kazi amekudanganya, na wala sitafuti kazi kwa mtu yeyote let alone f.ala kama wewe unayeililia serikali nyonyo badala ya kupekecha akili kuangalia vipi utoke.
And FYI, hiyo email yako u can shove it in ur as.s, yaani kua mpasua kichwa badala ya mguu umejiona uko juu sana, ndo matatizo ya wakuja mnaoletwa na mafuriko. Wakisema wasimame watu wa maana na wewe utasimama?

What a joker
 
I don't support this ridicule, wamefanya strike how many lives we lost so far. Hata kama wanatetea haki zao but my belief there is proffessional ethics where does this stand.

Wamekula kiapo na hawajui umuhimu wake...pumba tu
 
Hawa madaktari wengi wao hawamhudumii mtu inavyo stahili bila kuomba hongo. Sasa wana goma !! Je wakipewa hayo marupu rupu wanayotaka mwananch atapewa huduma ipasavyo ?? Pamoja na viapo vyao kufanya kazi kwa maadili ( Hippocratic Oath ) lakini hawa wa bongo ni rushwa tu ndio inawapa motisha la sivyo mgonjwa takufa.

Unafikiri mtu akilipwa vizuri atasumbuka na rushwa au kutoa huduma mbovu?tafakari
 
Unafikiri mtu akilipwa vizuri atasumbuka na rushwa au kutoa huduma mbovu?tafakari

Mkuu fikiria kwa hali iliyopo Tanzania hata kama madaktari hawalipwi ipasavyo. Je ni haki kumuomba mgomjwa rushwa ? Daktari akifikia hatua hiyo si daktari tena ila ni muuwaji sababu atawaacha wasio na pesa bila matibabu.
 
Back
Top Bottom