Share this to support doctors' strike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Share this to support doctors' strike!

Discussion in 'Jamii Photos' started by tz01tz01, Feb 4, 2012.

 1. tz01tz01

  tz01tz01 New Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Please share this photo, put it as your profile pictures everywhere to show support for the ongoing strike.
  Pamoja tutafika!
   

  Attached Files:

  • coat.jpg
   coat.jpg
   File size:
   63.1 KB
   Views:
   549
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  What kind of NONSENSE is this? kama kazi imewashinda nendeni mkalime vijijini. Hamkulazimishwa kuwa madaktari.
   
 3. tz01tz01

  tz01tz01 New Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa bwana Abdulhalim, everyone has the freedom of expression.
   
 4. L

  Luiz JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  madai ya shule zenu na mahakama ya kazi yamewashinda au unadhani na sisi tunadai mahakama ya kazi hapa nenda kafuturu huko.
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ok tumekupata
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ati na wewe ni great thinker? Shame!
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu umetudharaaaaaaaaaaau sana sisi wakulima eti ehee! basi kila ukienda chooni kuyapa haja masaburi yako uwe unakumbuka kuwa ni sisi wakulima tunao yanyima raha hayo masaburi yako. Unajua nini? Daktari unamwitaji siku unapoumwa tu, tena wengine wenye afya zao wala hawakumbuki ni lini mara ya mwisho walimwona daktari, lakini sisi wakulima unatuhitaji kila siku kuanzia breakfast unapoamka kutoka kitandani hadi supper unarejea kitandani. "Basi kuwa na adabu ujivunze kuheshimu watu"
   
 8. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 10. P

  Percival JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hawa madaktari wengi wao hawamhudumii mtu inavyo stahili bila kuomba hongo. Sasa wana goma !! Je wakipewa hayo marupu rupu wanayotaka mwananch atapewa huduma ipasavyo ?? Pamoja na viapo vyao kufanya kazi kwa maadili ( Hippocratic Oath ) lakini hawa wa bongo ni rushwa tu ndio inawapa motisha la sivyo mgonjwa takufa.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mpumbavu ni adui wa maarifa. jadili.
   
 12. s

  sambonanga Member

  #12
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Inaonyesha ulivyokuwa mfinyu wa kufikiria na mbinafsi na inaonyesha jinsi ulivyotumwa kupinga umma na hizo propaganda zilizoshindwa na bado madaktari lazima washinde kwa kudai heshima yao siyo kuwaburuza kama wanyama hawa watu wamesoma miaka mingi kuliko wewe na masomo yao yalikuwa magumu kuliko wewe na ndiyo maan hata kuchaguliwa wanaangalia pass za juu kabisa kuchagua mtu kwenda udaktari hata vyuo vingine vya udaktari bila kuwa na pass za juu huruhusiwi kuomba kusoma huko kwahiyo usitegemee wakawa mambumbu katika kuamua mambo yao, hebu fikiria mtu anamsikiliza binadamu na anampa dawa anapona leo hii unamwambia akalime hiyo inaingia akilini kweli, acheni kwenda kwa waganga wa kienyeji nyie, inaonyesha huna mgonjwa hospitali wewe ndiyo maana unaropoka ovyo jamani jamii forums haipo kusolve frustration zenu za kukosa kazi ni pass zako zilizokufanya ukose kazi wewe siyo madaktari, hiyo nonsense unayowewe ambaye umekuwa frustrated kutokana na maisha kukuendea vibaya na huna pakushikilia jitahidi uende shule uone faida ya kwenda shule, huna shule kabisa wewe na maisha yanakugonga halafu mwoga wa kijiji inaonyesha jinsi ulivyo mvivu wa kulima
   
 13. s

  sambonanga Member

  #13
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  :A S embarassed:INAONYESHA ULIVYOKUWA MFINYU WA KUFIKIRIA NA MBINAFSI NA INAONYESHA JINSI ULIVYOTUMWA KUPINGA UMMA NA HIZO PROPAGANDA ZILIZOSHINDWA NA BADO MADAKTARI LAZIMA WASHINDE KWA KUDAI HESHIMA YAO SIYO KUWABURUZA KAMA WANYAMA HAWA WATU WAMESOMA MIAKA MINGI KULIKO WEWE NA MASOMO YAO YALIKUWA MAGUMU KULIKO WEWE NA NDIYO MAAN HATA KUCHAGULIWA WANAANGALIA PASS ZA JUU KABISA KUCHAGUA MTU KWENDA UDAKTARI HATA VYUO VINGINE VYA UDAKTARI BILA KUWA NA PASS ZA JUU HURUHUSIWI KUOMBA KUSOMA HUKO KWAHIYO USITEGEMEE WAKAWA MAMBUMBU KATIKA KUAMUA MAMBO YAO, HEBU FIKIRIA MTU ANAMSIKILIZA BINADAMU NA ANAMPA DAWA ANAPONA LEO HII UNAMWAMBIA AKALIME HIYO INAINGIA AKILINI KWELI, ACHENI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NYIE, INAONYESHA HUNA MGONJWA HOSPITALI WEWE NDIYO MAANA UNAROPOKA OVYO JAMANI JAMII FORUMS HAIPO KUSOLVE FRUSTRATION ZENU ZA KUKOSA KAZI NI PASS ZAKO ZILIZOKUFANYA UKOSE KAZI WEWE SIYO MADAKTARI, HIYO NONSENSE UNAYOWEWE AMBAYE UMEKUWA FRUSTRATED KUTOKANA NA MAISHA KUKUENDEA VIBAYA NA HUNA PAKUSHIKILIA JITAHIDI UENDE SHULE UONE FAIDA YA KWENDA SHULE, HUNA SHULE KABISA WEWE NA MAISHA YANAKUGONGA HALAFU MWOGA WA KIJIJI INAONYESHA JINSI ULIVYO MVIVU WA KULIMA:shock::A S embarassed:
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  It's is obvious who is of less intellect here. No doubt.
  No wonder mnapasua watu vichwa badala ya miguu.
  FYI, ukitaka kushindana nani amesoma kuliko mwengine, utakimbia mwenyewe na hako ka dr kako uchwara ka kupasua miguu badala ya kichwa.
   
 15. s

  sambonanga Member

  #15
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bado unaendeleza umbumbu wako toa hiyo shule yako ambayo unaitetea jiweke hadharani kama hatujakushika na hizo shule zako mbovu kabisa na hizo prpaganda za hao mapaparazi wako wa kichwa miguu wanakuchanganya wewe unasema nikimbie kwa hako kaelimu kako kakubahatisha haaa haaa wewee you do not know our level madk wote ni dunia nzima wapo juu naweza kwenda popote niko acceptable siyo wewe wakufikiria weka profile yako watu waichambue uone aibu
  ati rudi kijiji umeona watu wa kijiji ni watu wa chini sana acha zarau hizo wewe na usiwe limbukeni wa kujifanya mtu wa mjini inaonyesha hata mjini umeingia ukubwani au umebisha hodi huku hujui kitu wewe siyo wa mjini ni mshamba tu usiyestarabika watu wa mjini wanaheshimu sana kijiji wewe
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mnatambulika dunia nzima ? lol. don't kid urself.ingekuwa hivo tusingewakuta kwene korido za Mwimbili. Hamna atawaajiri huko wanakojali professionalism na maadili ya udaktari, labda muende Somalia na South Sudan, maana naskia hata huko Botswana wameshatrain watu wao, hamuuziki tena na uswahili wenu.

  BTW: Weka email yako nikutumie CV na vyeti, halafu utajaza mwenyewe nani amesheheni maarifa kuliko mwengine.
   
 17. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #17
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe unadhani kila mtu kazaliwa kijijini!! Si umwambie Kikwete aende Msoga akalime maana kuendesha nchi kumemshinda.
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nimesema wapi?
  Kamwambie mkeo akampe huo ujumbe. Milango ya Magogoni iko wazi.
   
 19. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #19
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anaye lala na mama yako ndilye baba yako.Jadili. Bado unataka nimtume mke wangu magogoni?
   
 20. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #20
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja mzeee. Tunawakilisha hii nchi inauzwa. Davos wanasema Tanzania iko kama ilivyo si kutokana na rais au ufisadi au ujinga ila ni kwa kuwa Watanzania wanakubali iwe hivyo. Hapo kwa watanzania kukubali kuwa hivyo ndio pabaya kaka na adada zangu. We are responsible for our country as citizens to say enough is enough and stupid people must go, fisadi must go, lazy people must go in that order. We must make our fate. Fate is made. Naomba kuwakilisha
   
Loading...