Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,589
daah nini hebu funguka nawe yale uliyoyaonaDaah
daah nini hebu funguka nawe yale uliyoyaonaDaah
km wanawake wengi wanauza je wanamuuzia nani?jibu sasa ndo wanaume wengi wanunuA...nmekushndwaWanaume wengi wananunua.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]natamani kujaribu kuuza ila sijui wateja wanapatikanaga wapi... (one of my fantasy)
hizo bombardier humu zimekuwa usefulKwa mujibu wa watumiaji wengi wa MMU, biashara ya ngono, milango ya uani, na kutembea nje ya ndoa ni mambo ya kawaida tu.
Halafu tunajiuliza nani ametuloga vijirani vinachana mawimbi na Airbus a-300, sisi ndio tunajiuliza na Bombardier.
Nawe unauza bestHapa ndio utakapogundua jf ni kichaka, wale watakatifu kwenye hii mada wameenda wapi. Kila mmoja humu ni mnunuzi
hongeramie ni mchoraji tu
hizo bombardier humu zimekuwa useful
Shunie we hujawai kuuzahongera
Sijawai kwakweli ila natoaga bureShunie we hujawai kuuza
kwa kazi ipi tena my?hongera
kwa kazi ipi tena my?hongera
yeec man"Humu" JF ama?
wap apo mkuu na Mie nkanywe biakuna kiwanja nilikwendaga aisee nikakuta hadi wachina,wazungu wanajiuza show time 200,000 halafu hapo hapo kuna wanaume wanajiuza wamama wanakuja kununua wanaume wa kulala nao daaah nilichoka hata beer sikumaliza kunywa
yeec man
dear mbona umeguna tena nini tatzo?
pamoja mkuuBaxi xawa.
mmmmmmmmmmmh usubiri kadi nyekunduSijawai kwakweli ila natoaga bure
Nitajitolea niwe marketing manager wkonatamani kujaribu kuuza ila sijui wateja wanapatikanaga wapi... (one of my fantasy)
si ya uchoraji jamaan kama ulivyosemakwa kazi ipi tena my?