Anajipigia chapuo kimkakati sana🤔Hapa kuna kaharufu kabaya ndani yake 🤔🤔
Hii ni kweli kabisa 😂😂😂
Nyie mlipaswa mkafie vitani huko Israel.
Si kweliMwanaume akiwa mrefu ndio kigezo Cha kwanza Cha kupendwa na kila mwanamke.
Akili nakosaNadhani shape nzuri zaidi mwanaume ni:-
1. Nguvu za kiume
2. Pesa
3. Akili timamu
4. Kujitunza ( mazoezi + usafi)
Mwanaume asifiwi Kwa uzuri wa umbo Wala sura hizo ni sifa za kike.Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Wadudu komba mavi inawezekana wamejaa humu kinouma , ndio maana jamaa anakuja kimkakati sana🤔Hii ni kweli kabisa 😂😂😂
Mkuu mi sio baba angu weww...