Shangazi yupo hijja.

Uislamu ni mhuri mwema katika moyo.

Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.

Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
 
Ni upi muhuri usio mwema?
 
Mimi ni Mkristo ila nimeipenda hii.
Mungu awasaidie katika makuzi ya watoto wenu pia.
Insha ALLAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…